JF Wallpapers Part II : DOWNLOAD HAPA

JF Wallpapers Part II : DOWNLOAD HAPA

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,326
Reaction score
111,545
Ndugu wana JF haswa jukwaa hili, ikumbukwe kuwa hapo awali nilitoa sample moja ya JF wallpapers...kwa muda nilikua kimya ila sasa nimeweza kuongeza nyingine kama 4 au 5 hivi ikiwemo moja ya Christmas na Mwaka Mpya(Happy Holidays).

Ukitaka kudownload, fuata hii link hapa chini:

SHUSHA "JF WALLPAPERS" hapa:ranger:

Kwa hisani ya watu8
 
Back
Top Bottom