jf udaku:remix

Kama utajiri mbona hata mimi ninao. Jaribu tena. . .

Hahahaha. . . Kongosho ni mtihani usio na jibu dearest.
nshakuagizia merc 600 SL ujue,ohooooooo!!!!!
 
Hili gazeti bei gani?
Kipipi,we shusha tu umbea hapa,mambo ya bei baadae.
Vipi hajambo mmeo?jana nasikia ulimfumania uwanja wa fisi akiwa na mama muuza mateka wima mkapigana kishenzi.Hivi kalazwa wodi gani mwananyamala?
 
kongosho umesikia umbea huo? Unaonaje tumtafute Hashy tumpatie nyeti za Michelle?
 
Imebidi nijisogeze karibu na dirisha naskia nesi anamlalamikia Bishanga mbona hata hamalizi, Bishanga anapiga mikelele tu eti misuli inamuuma mpaka sasa hivi naanza kusikia maneno ya kihaya ...mayo..omukama anjune..
du! Haya mambo ya kuchokoza mzinga wa nyuki...mmmmhhh
Nalogoff (source:washawasha)
 
Bishanga adondosha chozi nakuzimia baada ya kumfumania mkewe wake akiliwa uroda na jamaa mmoja jina limehifadhiwa

yeye alipofumaniwa mbona my wife wake hakudondasha chozi?
mkuki kwa ................
 

nesi mwenyewe anaitwa Dena!
 
Picha za wan jf walioenda kutembea msibani zasambaa mitaani magamba wazinunua kama njugu.

Yasemekana Rejao ana damu baridi na alizaliwa Njiti
 
Hahaha mmenipunguzia machungu ya msiba aisee,hili gazeti ni noumer
 
Hatimae kabakabana apate Mwenza mpya ni kitoto cha shule ya wenye utindio wa akili ya uhuru... Mwenyewe ajidai kuwa anamlea! wazazi wa kijawa waja juu... hao wazazi kumbe ni Husninyo na Balantala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…