we kongosho nitakutumia hawa nyuki wa babu wakuangamize.... wewe endelea tu na huo udaku wako!
hawezi kumalizia ,nimeshampiga mkwara nitamtumia nyuki wa babu ebo!Kongosho hii habari mbona sikuiona uk.7 iko sehemu au kama vipi malizia hapo
Yarabi toba, Michelle, Lizzy, na asakuta same wabambwa na mwandishi wa jf udaku remix waki...
Habari kamili uk 7.
Kutoka Buibui Guest House: Kongosho azua Balaa
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Kongosho ambaye imethibitika ni member wa mtandao wa JF amezua balaa la aina yake,pale alipomuita mwanamme ambaye ni mpenzi wake nyumba ya kulala wageni,mwanamme huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Bishanga akameza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya VIAGRA. Kufika ndani akakuta Kongosho analia kufukuzwa ajira baada ya bosi wake kumshtukia kuwa anatoroka sana kazini kwenda kulala na Bishanga. Kongosho akakataa katu katu kumpa Bishanga hitaji lake....Hivi sasa Bishanga ambulance imefika kumchukua Bishanga kumpeleka Muhimbili kiungo chake cha uzazi kimegoma kabisaaaaaaaaaaaaaaa
Mwandishi wetu Asakute atawahabarisha zaidi kutoka Muhimbili......!
Kazi kwako dearest. . . mtego ndani.
Mwandishi wetu Asakute naona bado yuko kwenye chumba cha dokta anafanya mahojiano lakini habari zilizotufikia mda huu inasemakana nesi mmoja ambaye jina lake halijajulikana bado amejitolea kumuondelea maumivu Bishanga maana kwa sasa naskia makelele
kutoka muhimbili:Kutoka Buibui Guest House: Kongosho azua Balaa
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Kongosho ambaye imethibitika ni member wa mtandao wa JF amezua balaa la aina yake,pale alipomuita mwanamme ambaye ni mpenzi wake nyumba ya kulala wageni,mwanamme huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Bishanga akameza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya VIAGRA. Kufika ndani akakuta Kongosho analia kufukuzwa ajira baada ya bosi wake kumshtukia kuwa anatoroka sana kazini kwenda kulala na Bishanga. Kongosho akakataa katu katu kumpa Bishanga hitaji lake....Hivi sasa Bishanga ambulance imefika kumchukua Bishanga kumpeleka Muhimbili kiungo chake cha uzazi kimegoma kabisaaaaaaaaaaaaaaa
Mwandishi wetu Asakute atawahabarisha zaidi kutoka Muhimbili......!
Kutoka Buibui Guest House: Kongosho azua Balaa
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Kongosho ambaye imethibitika ni member wa mtandao wa JF amezua balaa la aina yake,pale alipomuita mwanamme ambaye ni mpenzi wake nyumba ya kulala wageni,mwanamme huyo aliyefahamika kwa jina moja tu la Bishanga akameza vidonge vya kuongeza nguvu za kiume aina ya VIAGRA. Kufika ndani akakuta Kongosho analia kufukuzwa ajira baada ya bosi wake kumshtukia kuwa anatoroka sana kazini kwenda kulala na Bishanga. Kongosho akakataa katu katu kumpa Bishanga hitaji lake....Hivi sasa Bishanga ambulance imefika kumchukua Bishanga kumpeleka Muhimbili kiungo chake cha uzazi kimegoma kabisaaaaaaaaaaaaaaa
Mwandishi wetu Asakute atawahabarisha zaidi kutoka Muhimbili......!
Makelele ya raha au kilio mkuu?? Tofautisha utupe habari inayoeleweka....
kutoka muhimbili;Mwandishi wetu Asakute naona bado yuko kwenye chumba cha dokta anafanya mahojiano lakini habari zilizotufikia mda huu inasemakana nesi mmoja ambaye jina lake halijajulikana bado amejitolea kumuondelea maumivu Bishanga maana kwa sasa naskia makelele
Najutaaa kusoma hapa, nimecheka mpaka usingizi wangu wa jioni umepotea! Dah.....nyie watu nyie ni noumer lol!!!
kongosho ni He au She jamani?
kutoka muhimbili:
baada ya kudhitika kuwa bishanga alitumia viagra na mwandani wake kumyima utamu kisa alikuwa na stress ,kama ilivyoripotiwa na mwandishi wetu Michelle.Bishanga baada ya kufikishwa muhimbili alipatiwa huduma ya kwanza na kuchomwa sindano kumtuliza mzuka wake lakini akakataa katakata kulazwa kwa uangalizi zaidi bila kutoa sababu kwa madokta wa zamu.
ila habari za kuaminika kutoka kwa mshirika wa karibu wa Bishanga (jina linahifadhiwa kwasababu za kiinteligensia) zinasema Bishanga alishapata taarifa kuwa kwenye jukwaa la Chit Chat kumechafuka ,hivyo alikuwa anawahi kwenda kusafisha hali ya hewa.
Habari zaidi kutoka Chit chat atatuletea mwandishi wetu mzoefu Michelle..........!
Imebidi nijisogeze karibu na dirisha naskia nesi anamlalamikia Bishanga mbona hata hamalizi, Bishanga anapiga mikelele tu eti misuli inamuuma mpaka sasa hivi naanza kusikia maneno ya kihaya ...mayo..omukama anjune..
Michelle aamua kumchafua kongosho.
Ni baada ya kongosho kumwangusha vikali katika kinyanganyiro cha ....