jf udaku:remix

jf udaku:remix

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,077
Awali ya yote naomba nikiri mbele ya hazala hii kuwa uzi wa 'jf udaku' kwangu ulikuwa ndo sredi of ze year 2011.
Kudos kwa aliyeshusha uzi huo (jina la mdau husika memory un reachable).
Ndugu zangu naomba tuli fresh our memories kwa uzi ule na tuuenzi kwa kupiga remix yake (tuchanganye ala za uzi ule na mpya).Bishanga naanza na headlines hizi za gazeti letu pendwa,edition ya kesho:
1.feisbuku afumwa gesti akiwa na mme wa mtu,katika purukushani adondosha avatar yake.
2.Yabainika: aliyewachonganisha Hashycool na Michelle kumbe ni The Boss,Michelle amuumbua mbele ya Hashy(full news pg 4)
3.malaria sugu na OTIS warudisha kadi za CCM,wajiunga na DP chama cha Mtikila,Freeman naye mbioni kuwa join.
4.Dena na Lizzy waonekana pamoja katika tete-a-tete katika kitchen party ya Husninyo,harusi yake na Rejao jumamosi ukumbi wa igongwe bar.
5.Kongosho kumbe ni mwanaume!
6.yametimia! TF kufunga ndoa na AD.
7.Bishanga afumaniwa na mke wa mtu,mgoni wake aonekana akinoa jambia eneo la tukio!
8.Ashadii atoa tamko,'kuanzia leo siingii tena jf' ,kisa kamili uk wa 8
9.Babu DC aonekana maeneo ya Ikulu akifuatilia malalamiko ya wastaafu wa iliyokuwa EAC.
10.Nyaningabu azipiga kavukavu na figganiga,kisa kugombea kakuku ka kienyeji maeneo ya temeke sokota!mia
@ All rights reserved by Tanmo,any copyright infringement will be reported to Ashadii.
THE AFTERNOON EDITION,WEDNESDAY JAN'18
1.Yagundulika:Kabakabana ana kaupele chronic sehemu flan,full time kupakuna.
2.Salito aitosa manU,ahamia Mancity,ni baada ya kisago cha 6-1!
3.bht apata 2nd born,amwita Elizabeth
4.Mtumishi wetu afukuzwa shule,alikamatwa anatizamia mtihani wa hesabu
5.Nduka ashinda uMiss Mpwapwa,ambwaga Husninyo,yasemekana jaji TF kala rushwa.
6.Revealed! Weupe wa Canta kumbe mkorogo!story pg 5
7.Nitonye kumbe ni mzungu(jina halisi david cameron)
8.RussianRoulette wanted!atoroka na silaha jeshini,ajificha kwa Hashycool,Michelle aja juu,hapakaliki!
9.jenero King'asti ,ajificha mvunguni,ni baada ya kusikia mlio wa pancha ya gari,afukuzwa jeshini
10.Hivi Raia fulani ni mtu au paka?
11.Inkoskaz ashinda disco toto,apewa zawadi ya peremende.
12.Kongosho abambwa akinyonya maziwa ya mtoto,adai njaa kali!
13.Valid Statement apigwa kisu katika fumanizi.
14.Mdau Kirato aanza kujifua gym,anagombea MrTZ.
..........itaendelea
 
Makubwa!!! lol.... Bishanga kutiwa ndani na JF Police... Hio ni baada ya kukutwa na hatia

ya kutaka mpindua Tanmo kwenye kampuni yake ya Gazeti la udaku! :canada:
 
Makubwa!!! lol.... Bishanga kutiwa ndani na JF Police... Hio ni baada ya kukutwa na hatia

ya kutaka mpindua Tanmo kwenye kampuni yake ya Gazeti la udaku! :canada:
ngoja niongeze neno kwenye uzi: all rights reserved by Tanmo
 
Makubwa madunchu yana nafuu.
Aunt nimekumiss jamani.
 
The roommate kuna mtu alinidanganya ni movie ya kutisha .. mpaka sasa nimenuna
Haikuwa nilivyotegemea..

Nilitaka tu kusema ..
 
Bishanga adondosha chozi nakuzimia baada ya kumfumania mkewe wake akiliwa uroda na jamaa mmoja jina limehifadhiwa
 
Back
Top Bottom