JF Top Posters Of All Time!

JF Top Posters Of All Time!

Kweli hukamatiki.. Umeanzisha thread na kujijibu fasta

Wewe ni mjinga kabisa. Kwa nini nasema wewe ni mjinga? Kwa sababu umeongea kama vile una uhakika kabisa kwamba mimi ndiye niliyeanzisha hii thread wakati sivyo.

Mjinga na -------- kabisa wewe. Mambo ambayo huyajui usiwe unaandika kama unayajua.
 
huyo alieshika nafasi 10 itabidi aongezewe MALIPO..
 
muianzisha mada ungeweka orodha ya kila kitu basi

top ten ya waliopewa likes
top ten ya waliotoa likes
top ten ya most viewed threads
top ten ya most contributed threads
top ten ya most visited profiles
top ten ya most popular threads
top ten ya most members with so many started threads
etc etc..

Yeye kaonyesha njia nasi tumsaidie kuiendeleza badala ya kumsukumia majukumu yote.
 
Looh yabidi NAPE amuongezee mshiko Rizwani kwa kukesha JF kutetea upuuzi wa ccm
Ritz1
 
Last edited by a moderator:
wengine ni mabingwa wa kutoa kejeli tu kwenye majukwaa leo wanajitapa kwamba hawakamatiki...tehteheheheeee
 
Sasa mnataka kulikuza balaa la watu kuanzisha mi thread isiyo na kichwa na miguu,mi post uharo mtupu alimradi ana post nyigi kapuni! chonde chonde jamani mtatufukuza!
 
Acha wivu. JF nguvu yake ni traffic posts. Top posters have made their contribution to put JF in a global map. Give credit where it belongs and watch your language. Usitumie maneno ya "uharo" kukashifu wenzio tena kwa ujumla wao.
 
Ungetulia na ungetafakari kwa kina ungeelewa nini namaanisha,sina ugomvi na 'top posters' wako nina ugomvi na watu watakao abiri katika kinyang'anyiro cha wao kuonekana wamepost mara nyingi ,sio wote watakaoingia katika mbio hizo watakuwa na michango ya maana ila nakubali baadhi hapo nimefaidika nao sana wala sitohofu kumtaja Mzizi,Ngabu,Aspirin katika kutaja wachaache .
Nasisitiza tena nawaogopa watu watakaopost kwa kuwa tu wanataka kuwa top ten bila kuleta hoja zenye mashiko!
 
Hata ambaye hoja zake hazina mashiko pia kaongeza kasi ya digital traffic. Hatuna budi kumshukuru. Hata uongo unathamani yake pia tusiupuuze.
 
Haya bwana !nimekubali ila sijaridhia utetezi wako!
 
muianzisha mada ungeweka orodha ya kila kitu basi

top ten ya waliopewa likes
top ten ya waliotoa likes
top ten ya most viewed threads
top ten ya most contributed threads
top ten ya most visited profiles
top ten ya most popular threads
top ten ya most members with so many started threads
etc etc..
Mkuu upo? Nikasubiri kitabu weee
 
Back
Top Bottom