JF Top Posters Of All Time!

JF Top Posters Of All Time!

"Acheni zenu,hii Brand kubwa,Jelebi nyie,kama hamna cha kuchangia nendeni mkalale.
Mkipanic njoo tukutane Police Post,Central Police
Nyie ni wachangiaji au Pasua tu?Kazi kuongea nyuma ya pazia tu.Hembu jitokezeni tuone sura zenu pasuwa wakubwa
Story kapigeni na sisimizi"


Hiki kiumbe nacho kitafutiewe Category wakuu
 
Nimepoteza ID zangu 2 coz nilikuwa situnzi passward !!! Nahisi ningekua na post count kibwena
Hivi superstar Wa JF wananufaikaje?
 
"Acheni zenu,hii Brand kubwa,Jelebi nyie,kama hamna cha kuchangia nendeni mkalale.
Mkipanic njoo tukutane Police Post,Central Police
Nyie ni wachangiaji au Pasua tu?Kazi kuongea nyuma ya pazia tu.Hembu jitokezeni tuone sura zenu pasuwa wakubwa
Story kapigeni na sisimizi"


Hiki kiumbe nacho kitafutiewe Category wakuu
huyo jamaa thread zake za udalali huwa nacheka sana anavowajibu watu.
 
"Acheni zenu,hii Brand kubwa,Jelebi nyie,kama hamna cha kuchangia nendeni mkalale.
Mkipanic njoo tukutane Police Post,Central Police
Nyie ni wachangiaji au Pasua tu?Kazi kuongea nyuma ya pazia tu.Hembu jitokezeni tuone sura zenu pasuwa wakubwa
Story kapigeni na sisimizi"


Hiki kiumbe nacho kitafutiewe Category wakuu
Category ya mipasho ...fix ..mikwara & kejeli..haka kahindi ni shida !!
 
Back
Top Bottom