The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,675
- Noted ,Pendekezo litafanyiwa kazi.
na uweke ya mwaka na ya all time pia
mtu anaweza kuwa mwaka huu ndo top
but ukiweka all time hatokei
- Noted ,Pendekezo litafanyiwa kazi.
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Na mie jamani.
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
View attachment 109532
- Upo nafasi ya 35, Nyuma ya Kiranga (Nafasi ya 34) na FirstLady1 (Nafasi ya 33).
- Hongera upo ndani "50! bora".
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Na kweli wanastahili pongezi maana mwenye post nyingi humu ujue kavumilia mengi!
Kweli hukamatiki.. Umeanzisha thread na kujijibu fasta
watu wanavyojua kushushua sasa,kweli kavumila mengi
Ukijumlisha IDs zangu zote sikamatiki kabisa. Ninazidi posts 60,000:smile-big:
Huwa nina post nini?