Mshana jr Anaongoza Asilimia ya Kupata Likes

Ozzanne Issakwisa

JF-Expert Member
Mar 7, 2016
288
240
Nilikuwa naangalia conversion rate ya post kwa wachangiaji wakubwa ishirini wa JF. Ni sawa na kumtafuta striker bora mwenye shot conversion rate kubwa.

Nimeshangazwa kuona post za mshana jr kupata asilimia kubwa ya likes (14.4%). Anafuatiwa kwa mbali na akina Evelyn Salt (9.4%), The Boss (7.2%), miss chagga (6.7%), Mmawia (5.2%), Nyani Ngabu (4.1%) na wengineo.

Bahati mbaya sana JamiiForums - Official Robot ndio ina asilimia ndogo za likes (0.1%) na hivyo kuwa wa mwisho.

Ila kupata likes JF ni kugumu kama kusaka pesa. Ungekuwa mpira basi mshana jr ni kama Messi au Ronaldo!!!

1. mshana jr (14.4%)

Messages: 36,333 Likes Received: 5,237 Trophy Points: 113

2. Evelyn Salt (9.4%)

Messages: 29,211 Likes Received: 2,757

3. The Boss (7.2%)

Messages: 32,301 Likes Received: 2,315 Trophy Points: 113

4. miss chagga (6.7%)

Messages: 35,865 Likes Received: 2,419 Trophy Points: 113

5. Mmawia (5.2%)

Messages: 31,171 Likes Received: 1,633 Trophy Points: 113

6. Nyani Ngabu (4.1%)

Messages: 56,852 Likes Received: 2,359

7. Ruttashobolwa (2.4%)

Messages: 33,307 Likes Received: 789 Trophy Points: 113

8. MziziMkavu (1.8%)

Messages: 37,260 Likes Received: 680 Trophy Points: 113

9. FaizaFoxy (1.5%)

Messages: 44,596 Likes Received: 682 Trophy Points: 113

10. Asprin (1.5%)

Messages: 39,403 Likes Received: 602 Trophy Points: 113

11. Mzee Mwanakijiji (1.5%)

Messages: 32,372 Likes Received: 488 Trophy Points: 83

12. Katavi (1.4%)

Messages: 33,342 Likes Received: 472 Trophy Points: 83

13. Ritz (1.3%)

Messages: 39,504 Likes Received: 531 Trophy Points: 113

14. Heaven on Earth (1.1%)

Messages: 35,119 Likes Received: 403 Trophy Points: 83

15. BAK (0.4%)

Messages: 43,970 Likes Received: 177 Trophy Points: 0

16. Watu8 (0.3%)

Messages: 45,784 Likes Received: 132 Trophy Points: 63

17. Rutashubanyuma (0.2%)

Messages: 41,160 Likes Received: 75 Trophy Points: 48

18. MaxShimba (0.2%)

Messages: 36,640 Likes Received: 73 Trophy Points: 48

19. Kongosho (0.2%)

Messages: 36,170 Likes Received: 60 Trophy Points: 48

20. JamiiForums - Official Robot (<0.1%)

Messages: 41,671 Likes Received: 34 Trophy Points: 48
 
Mshana Jr amekuwa na post za kufikirisha,kuelimisha,na zingine kuonya jamii...MF Suala LA malezi ya watoto ni nzuri sana...pia amekuwa na post zenye utata mwingi kiasi cha kufikiriwa kuwa ni mchawi na mshirikina..ila kwa mwenye uelewa hawezi hukumu..binafsi nampongeza sana kwa Mada zake ni nzuri sana
 
I believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...

nafikiri accuracy yake sio kubwa

kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....
 
Mimi sina muda mrefu hum ingawa nilikuwa nasoma thread za humu,naikubali sana michango ya Mshana Jr,na The Boss, hawa jamaa ni waelimishaji wazur xn na wameamua kutumia fursa ndogo waliyo nayo kuelimisha jamii,kuonyesha uzalendo wao! hawakusubir cku wawe musocians au wabunge nk ndio wajifanye watetez wa jamii,MUNGU AWALINDE NA AWAONGEZEE HEKIMA ZAIDI
 
I believe kuna a lot of errors with it...
kuna siku nilikuta nime win trophy kwa likes nyingi kwa post moja
while later on kuna post zilizopata likes nyingi kuliko hiyo waliyonipa trophy...

nafikiri accuracy yake sio kubwa

kuna members wengi anaanzisha threads zinakaa na kuchangiwa sana
but huoni chocchote kilichoongezeka..
mfano tazama wenye threads za riwaya....
Binafsi nakukubali sana mkuu. Hauna mihemko. Critical thinker.
 
Back
Top Bottom