personally I'd say ni infestation of meaningless topics with even more meaningless titles. I enjoyed this lounge a lot ila recently ile nice taste inapotea kabisa. -My take. Back 2 topic i don't know much bout addiction ila Brother Stephano i enjoy reading your posts n comments
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?
oii good guy habari za siku mkuu.kitambo sana.
Hapa ndio tatizo hasa heading zisizo na kichwa wala miguu. Imagine unafungua tech forum unakuta listing nzima ina heading kama "msaada harake, kwa anayejua hili, tatizo jamani, nimekwama nahotaji msaada, ...." Hapo unasign out tu. Yaani uanze kupitia moja baada ya kingine kuangalia ndani kuna nini na una dk 10 or so za kukaa hapo?
Siwalaumu Mods kwa kuwa hili ni tatizo la waandishi wenyewe ambao ndio sis member wenyewe.
Kura kwa huyu chief-mkwawaHaahahahaa hii kitu inaonyesha personality ya mtu wala usishangae vile! Ukienda majukwaa mengine utakuta watu wana likes 10000+ na wametoa likes 11000+ kwa member wengine. mfano (Invisible)