JF Tech, Gadgets & Science ADDICT of the YEAR 2013

JF Tech, Gadgets & Science ADDICT of the YEAR 2013

Yes brother, I'm all good here!! Huonekani humu siku hizi bro vp? Naona your previous comment una claim to be fully equipped this coming year aye, well so am i. planning 2 release very nice arts and animations as well. Hope we make it ase
yeah bro.wait for my official return.i have something nice too.so far i have never seen a member who is more interested in animation/motion design than u and me.so tuombeane kila la kheri tuvuke 2013 salama and take this art into another level.
 
Mkuu e2themiza angemkaba koo huyu chief-mkwawa tatizo siku hizi mzee wa trick amekuwa adimu sana kama ushuzi wa kuku so mpeni mzee wa NOKIA haki yake. KRAPKA DAVINOOO!!

kwa kweli chief ana deserve hii kitu.kumbe mtaalam e2themiza nayeye alipotea jukwaani ka mimi!!.mpeni HI.mwambieani 2014 arudi upya kwa kasi na ari.halafu kuna huyu mdau,swaiba wake na C6 anaitwa Young Master yuko wapi huyu naye?.namsalimu popote pale alipo.
 
Last edited by a moderator:
yeah bro.wait for my official return.i have something nice too.so far i have never seen a member who is more interested in animation/motion design than u and me.so tuombeane kila la kheri tuvuke 2013 salama and take this art into another level.

so true brother!! Looking 4ward to seeing your stuff. I love seeing what other artists are doing
 
Naona viewers wanazid kuongezeka,
ila post bado zipo kama 105... wakat viewers, ni kama 1600,
karibia thread inafungwa mana tunahitimisha mwaka,
Na wanaokubaliana na chief-mkwawa wapo ila bado hata ku mention tu wanaona kaz kama 2mesema waelezee hv.....
yani kama alichokisema C6
baada ya chief kufikisha kura 100 hawajakiona,
ILA PAMOJA SANA
 
Wewe unaona wazi chief-mkwawa amewashika na hana mpinzani hapo so wadau hawaoni cha kuongeza zaidi ya kusema wengi wape.
 
Last edited by a moderator:
AISHAJULIKANA JAMANI JAMANI NDUGU WANA JUKWAA....
.
chief-mkwawa = TGS ADDICTED MEMBER OF THE YEAR
.
OVER
 
Last edited by a moderator:
Gkiwango na e2themiza ndio watu wa TECH.... japo wamepotea jukwaani miezi ya mwisho wa mwaka..... kama nilivyopotea mimi
chief-mkwawa huyu sie kazi yake kupotoa jamii kwa kusifu nokia na kukandia Android ijapokuwa inajuulikana wazi nani aliyefulia (nokia au google android)..... labda ni marketing manager wa nokia na anafanya hivyo kwa maslahi ya kampuni ya nokia
 
Paje we ndio umevunja rekodi wengine wooote wamemsifia ila wewe umetia mgomo. mie naona japo anasifia nokia na kuwaponda wengine ila amekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wasiojua hata abc za tech japo wapo wengi ila jamaa yupo poa.
 
Last edited by a moderator:
Gkiwango na e2themiza ndio watu wa TECH.... japo wamepotea jukwaani miezi ya mwisho wa mwaka..... kama nilivyopotea mimi
chief-mkwawa huyu sie kazi yake kupotoa jamii kwa kusifu nokia na kukandia Android ijapokuwa inajuulikana wazi nani aliyefulia (nokia au google android)..... labda ni marketing manager wa nokia na anafanya hivyo kwa maslahi ya kampuni ya nokia

kuikimbia nokia ni sawa na kukimbia tech. jaribu siku moja kuekea mgomo invetion zote za nokia uone kama utaishi. wewe unapenda kuchakachua hebu nikufundishe nokia anaplay vipi part yake kwenye kukueka wewe mjini.

1. reseller wa kwanza wa tunnel guru.
tunnel guru wanachakachua basi jekundu na hili basi jekundu linanunua network kwa nokia. hivyo network inayotoka kwa nokia ndio inafanya upate shilingi mbili tatu. mshukuru nokia kaka

2. movie movies movies.
kwa anaejua kiundani video basi video za full hd zinakua 4gb+ zinakua kubwa sana ila mchango wa nokia kutoa codec mbali mbali kwa either kusaidia kudevelop au kuachia patent zake za bure zitumike. bila nokia wangetokea wapi YFIY? au hulijui hilo?

at same time ni google ambaye kampeleka mahakamani nokia akitaka apewe na yeye patent bure ili adevelop codec kama hizi. kampuni unayosifia.

2g/3g/4g
kaka network zote hizi zimegunduliwa na nokia kwa zaidi ya asilimia 50% na nokia mpaka sasa ndio anaeongoza mbio za 5g kwa technology yake ya kushare mawimbi na minara ya tv. bila kusahau network ya nokia ya korea lte yenye speed zaidi duniani mpaka kufikia stage consumer wanapiga simu kua internet ipo too fast waipunguze. ingekua vp tanzania bila network za mitandao!? wifi na cable internet zinatosha?

tuje 2013 smartphone wars.
1. mauzo. haya ni mauzo ya quarter toka mwaka jana hadi mwaka huu.
q3 2012- unit milion 2.9
q4 2012- unit milion 4.6
q1 2013- unit miloon 5.7
q2 2013- unit milion 7.4
q3 2013 - milion unit 8.8

q3 2012 hadi q3 2013 ni mwaka mzima ukiangalia from 2.9 milion hadi 8.8 milion ni ongezeko la asilimia 300. je nokia sio mshindi? nani mwengine anakua kwa kasi zaidi yake??

2. tuje mapato.
mwaka jana nokia alieka rekodi ya hasara ya 1.7 billion usd (kama trilion 3 za tz) ila mwaka huu kapata faida je sio wonders hizi?

3. share ya nokia mwaka jana ilikua 1.x usd ila mwaka huu imefika hadi 5usd ina maana kama mwanachuo mwaka jana ulieka milion 1 kwenye hisa mwaka huu hisa zako zingekua na thamani ya mln 5.

4. mwisho kabisa innovation za karibu za nokia.

-cover za polycarbonate za rangi kaanza nokia, htc na aple wakaiga na makampuni kibao. apple walivyoiga nokia akatweet. ile tweet imevunja rekodi ya dunia kwa watu kuretweet mara nyingi.

- super sensitive screen (kioo unachogusa na chochote) nokia kagundua kina samsung sasa wanaiga

-camera. nokia kaeka vitu kama ois na super sampling ya pixel. iphone na xperia z1 zinafanya sampling na samsung na htc wao wana ios. makampuni makubwa manne wanafata nyayo za nokia.

-rich recording. nokia ndio wa kwanza kuleta mic zinazo record pahala popote. uwe club au hata taifa unacheki mpira mic hizi hutoa sauti clear. htc akaiga kilichompata mahakamani mnakijua, simu zimekua banned

-nokia wa kwanza kuimplement swipe ui kwenye meego leo ni mama wa bb10, sailfish os na tizen ya samsung.

-nokia katuletea nfc leo hii imekua common kwenye simj zetu.

kuna vingi sana kaka kama unapinga mchango wa nokia utakua ni nsa peke yake
 
chief-mkwawa you are pro nokia. as if watu wengine hawafanyi chochote au hakuna vizuri au walivyoanzisha except nokia. ujue mtumiaji wa kawaida haangalii nokia kapata faida au hasara waliyopata kampuni ila wanaangalia urahisi wa kutumia kifaa husika hapo ndio samsung apple htc wanaipiga bao nokia. nokia kwa sasa ni jina tu in terms of watumiaji. hata ukiamua kufanya survey yako wangapi wanatumia nokia smartphones kibongo bongo si wengi kama ambao wako na galaxy na htc
 
Last edited by a moderator:
ujue mtumiaji wa kawaida haangalii nokia kapata faida au hasara waliyopata kampuni ila wanaangalia urahisi wa kutumia kifaa husika hapo ndio samsung apple htc wanaipiga bao nokia. nokia kwa sasa ni jina tu in terms of watumiaji. hata ukiamua kufanya survey yako wangapi wanatumia nokia smartphones kibongo bongo si wengi kama ambao wako na galaxy na htc
.
in general NOKIA was made a big mistake when they decided to create ONLY WINDOWS PHONES..
.
But now Android spread like PLAGUE
.
.
 
.
in general NOKIA was made a big mistake when they decided to create ONLY WINDOWS PHONES..
.
But now Android spread like PLAGUE
.
.

na unapoona umeshindwa unaretreat unaretreat unakuja na jeshi jipya.

sailfish, tizen na firefox + muda utatuambia
 
chief-mkwawa you are pro nokia. as if watu wengine hawafanyi chochote au hakuna vizuri au walivyoanzisha except nokia. ujue mtumiaji wa kawaida haangalii nokia kapata faida au hasara waliyopata kampuni ila wanaangalia urahisi wa kutumia kifaa husika hapo ndio samsung apple htc wanaipiga bao nokia. nokia kwa sasa ni jina tu in terms of watumiaji. hata ukiamua kufanya survey yako wangapi wanatumia nokia smartphones kibongo bongo si wengi kama ambao wako na galaxy na htc

galaxy sawa ila nokia lumia zilishampita htc siku nyingi. na kama trend inavyokwenda anaefuatia ni apple. sasa hivi europe wp ina asilimia 9 na ios ina asilimia 15 soon atakamatwa apple. soko kubwa alilobaki nalo ni marekani.

wengi wanalalamikia wp kwa ajili ya notification centre na file manager ila hivi vinakuja na wp8.1 kuanzia april angalia mapinduzi.
 
Last edited by a moderator:
na unapoona umeshindwa unaretreat unaretreat unakuja na jeshi jipya.

sailfish, tizen na firefox + muda utatuambia

.
sawa chief
naweza kusema windows phone ni fast and easy to use....
.
lakini hamna apps/games nyingi kwa hzi windows phones...
.
Tusipingane na hili na sidhan kama wewe mwenyewe hautumii Android...
.
Ni sawa tu na linux inapo compete na Windows
.
Linux is faster but can not run exe and Windows is slower but have more stuff on it
.
.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom