JF Tech, Gadgets & Science ADDICT of the YEAR 2013

.
C 66666666666666
.
Pamoja sana,
.
litakuwa jambo la mana sana, kama atafikisha litafanyika suala hilo,
.
natumai kula bado zinaendelea,
mana mpaka sasa,
REPLY zimefika 36 na kati ya hzo,
sio zote ni kula bali kuna,
vitu kama hoja n.k,
.
TUENDELEE WAKUU KU VOTE
.

chief-mkwawa kalamba zote hata tukifanya poll tutafanya kuchelewesha tu!! Wapi Papaa Kinyani atoe mkwanja hapa
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa jamaa yuko vizuri sana undisputed ila sijawahi ona like yake hata moja kwa member yeyote humu jukwaani.
 
Last edited by a moderator:
Chief-mkwawa, e2zthemia. And our lady fatma bawazir anajitahidi kiasi chake.

Nimekuwa nikimsumbua sana chief katika PM na bila hiyana 99% amenisaidia.
 
chief-mkwawa jamaa yuko vizuri sana undisputed ila sijawahi ona like yake hata moja kwa member yeyote humu jukwaani.
Haahahahaa hii kitu inaonyesha personality ya mtu wala usishangae vile! Ukienda majukwaa mengine utakuta watu wana likes 10000+ na wametoa likes 11000+ kwa member wengine. mfano (Invisible)
 
e2themiza siku nyingi sana huyu jamaa sijui yukwapi? anajua balaa..
 
Last edited by a moderator:
kura yangu kwa mwenye Signature ya: :banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease::banplease:
 
Nadhani Kuna watu humu ndani,
ni maBINGWA wa Topic za Msaada plz.
Lakin wanajifanya kama hawawajui, watoa msaada,
.
Acheni ishu kama izo
.
Najua haipiti siku bila thread za msaada,
leo mnakaa kimya tu,
hata m mention tu mnashndwa,
Tuendelee tutafika tu...
.
 
mimi natambua mchango wa wote. ila kwakuwa inatakiwa kumtaja mmoja huyu hapa

Chief Mkwawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom