.
chief-mkwawa
.Ukizungumzia hyo 6tag na hacking ya private pic ktk profile bas Androi ni yapekee sanaa
.
HIVI VITU WINDOWS PHONE HAIWEZI FANYA KATIKA HACKING KWAHYO 6TAG ITASUBIRI SANA
.
1. Android inauwezo wa ku hack website kupitia SQLi .. Vizuri tu app inaitwa Droidsqli
2. Inauwezo wa kufanya maping na port finder ... app Nmap 4 android
3. Android ina app inaitwa FaceNiff 2.4 final kaiangalie inafanyaje kazi ktk facebook
4. Ukisikia mtu kahack web kwa DDos attack ktk pc android nayo ina app inaitwa AnDosId tool for android ambayo inafanya kaz hyo pia
5. Kwa pentesters kuna kitu hiki The Android Network toolkit inafanya Web PENETRATION
.
ZIADA
.
Android ina run python script app inaitwa Botbrew python... Na Pia sidhan kama kuna uwezekano wa ku remove system apps katika Windows phone.... KWA HIYO ANDROID SIO SIRI KAKA WP ZITASUBIRI SANA sijajua kwa WP kama memory card inaweza tumika kama ROM