JF Tech, Gadgets & Science ADDICT of the YEAR 2013

JF Tech, Gadgets & Science ADDICT of the YEAR 2013

ktk gadgets wapo wengi ila chief-mkwawa nadhani anaongoza.
Sijui kwa nini mpaka leo hajaukwaa u-County director wa Nokia Mobile! :A S 39:

kila mara nagombana na hemedans. he is young. smart na ana muda. basi tu anazembea... kipaji hiki kinapotea tu. nokia wangejua kama wana number one supporter wangempa nafasi hata awe msemaji mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hapa ndio tatizo hasa heading zisizo na kichwa wala miguu. Imagine unafungua tech forum unakuta listing nzima ina heading kama "msaada harake, kwa anayejua hili, tatizo jamani, nimekwama nahotaji msaada, ...." Hapo unasign out tu. Yaani uanze kupitia moja baada ya kingine kuangalia ndani kuna nini na una dk 10 or so za kukaa hapo?

Siwalaumu Mods kwa kuwa hili ni tatizo la waandishi wenyewe ambao ndio sis member wenyewe.

mtu anaambiwa asearch hataki anataka tu kuanzisha mada ileile tena smtms unakuta ni tatizo limesoviwa...

mtu anaanzisha mada instagram ni nini? tena anatumia smartphone. anataka tuamini kuwa kashindwa kuiliza google...
wikipedia etc. ukimuelewesha nini cha kufanya atakuporomoshea matusi mpaka ukome

mfano hata sasa ivi kuna mtu anataka serial ya idm mtu kamuelekeza jamaa kamjibu ana roho mbaya...

hata ukiwa na moyo unaanza kukata tamaa maana hapa wote ni volunteers kila mmoja anatoa mchango kwa kadri ya uelewa wake bure. hakuna malipo. ila mtu atakutukana. kweli baadhi ya watu daaah yataka moyo
 
Though out of Topic hivi mmenotice kwamba Previously kama 10 days ago members Online wameshuka na wana-range from 7000-10,000 wakati siku za nyuma constant rate ilikuwa 30,000
Can anybody guess shida ni nn?

Mgao wa Umeme
 
personally I'd say ni infestation of meaningless topics with even more meaningless titles. I enjoyed this lounge a lot ila recently ile nice taste inapotea kabisa. -My take. Back 2 topic i don't know much bout addiction ila Brother Stephano i enjoy reading your posts n comments
 
nadhan isiwe ilimrad kucomment tu bali factor ziwe mtu anayeelimisha na kutoa msaada wa kimawazo kuhusu haya mambo na kama factor ni hizo mbili nadhan kuna wawili wanakubalika sana
1. chief mkwawa - ushauri na ujuzi kuhusu haya mambo
2. Njunwa mavoko - mwezeshaji wa kufungua njia za kupata huduma nafuu na kasi ingawa yuko kinyume na sheria!!
 
.
Uoneshe unasimama, kwa nan Tu.. mkuu,
ukigawa ki hvyo,
yaani utazua hoja nyingi kama ulivyosema.
.
ushauri na ujuzi kuhusu haya mambo..
.
mwezeshaji wa
kufungua njia za kupata
huduma nafuu na kasi....
.
Mshauri kwa upande mambo ya PC....
.
Mshauri bora kwa upande wa VIN'GAMUZI
.
Mshauri kwa upande wa smartphones....
.
Nakuendelea....

.
 
so far @chief-mkwawa ashashinda tumtafute anaemfuatia kama kuna zawadi tuwape!
 
Mimi nawataja ninao wakubali na si mmoja tu na aliye addicted kama muanzisha mada alivyosemma
nimewagawanya katika makundi

People who made/make me knowledgeble
C6 mambo yetu yako hewani( by Shaffin Simbamwene) nimeyajulia kwa huyu mjamaa
chief-mkwawa Jamaa namkubali sana swala za Android naye kanifundisha ma-proxy Paje Pioneer wwetu wa basi la GURU kanifundisha mengi japo ana-dodge jukwaa iku hizi

People I appreaciate their works
Mwl.RCT nafaidi software zake sana na Links za justseed.it
Nyasiro napenda sana software zake ambazo huwa anatushirikisha e.g Plate number generator etc

Stefano Mtangoo Napenda sana mchango wake wa Hossana Higher Tech mpaka kaaanzisha company ya kuwafundisha vijana IT at a fair price
wickerman nilipenda software yake ya ku-hack zile 150MB za TunnelGuru na kuwa unlimited yaani anaitumia Progamming ku-solve shinda ndogo ndogo

0ri1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Chief-mkwawa ndie nguli wa mambo ya gadgets ingawa nae piga ua huisifia Nokia as if haina mpinzani.
Stefano Mtangoo nae napenda kusoma opinions zake kwenye software & IT in general
 
Mimi nawataja ninao wakubali na si mmoja tu na aliye addicted kama muanzisha mada alivyosemma
nimewagawanya katika makundi

People who made/make me knowledgeble
C6 mambo yetu yako hewani( by Shaffin Simbamwene) nimeyajulia kwa huyu mjamaa
chief-mkwawa Jamaa namkubali sana swala za Android naye kanifundisha ma-proxy Paje Pioneer wwetu wa basi la GURU kanifundisha mengi japo ana-dodge jukwaa iku hizi

People I appreaciate their works
Mwl.RCT nafaidi software zake sana na Links za justseed.it
Nyasiro napenda sana software zake ambazo huwa anatushirikisha e.g Plate number generator etc

Stefano Mtangoo Napenda sana mchango wake wa Hossana Higher Tech mpaka kaaanzisha company ya kuwafundisha vijana IT at a fair price
wickerman nilipenda software yake ya ku-hack zile 150MB za TunnelGuru na kuwa unlimited yaani anaitumia Progamming ku-solve shinda ndogo ndogo

0ri1.jpg

Kura inaenda kwa kamanda chief-mkwawa the big one
 
Last edited by a moderator:
kama chief-mkwawa atapata vote mia ntamuombea kwa mkuu robot apewe japo hata upremium membership kwa mchango wake mkubwa uliotukuka katika jukwaa au mnasemaje wadau

au kama inawezekana mpendekeze majina kadhaa tuweke poll yapigiwe kura mshindi apewe zawadi...
kwa ajili ya kusema asante kwa mchango wake
 
C 66666666666666
.
Pamoja sana,
.
litakuwa jambo la mana sana, kama atafikisha litafanyika suala hilo,
.
natumai kula bado zinaendelea,
mana mpaka sasa,
REPLY zimefika 36 na kati ya hzo,
sio zote ni kula bali kuna,
vitu kama hoja n.k,
.
TUENDELEE WAKUU KU VOTE
.
 
Last edited by a moderator:
chief-mkwawa namba 1

Natamani siku moja tungepata muda wa kukutana kwa pamoja member wa hili jukwaa.
 
Last edited by a moderator:
Naona usingizi unaninyemelea..ila ntarudi kwa kura...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom