Joeli
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 4,941
- 3,417
chief-mkwawa angekuwa Moderator wa hii forum ningeenjoy sana, C6 ana karoho ka korosho kwa mbaaaali. mi kura zangu zote kwa chief-mkwawa, sijui kwa nin melo hawaoni watu kama hawa!
hata mkwawa angekuwa ungemchukia tu... mtu yoyote anaesimamia jambo lazima wamchukie watu...
ivi ningekuwa nawaban si ndio mngenilaani kabisa mkuu
Last edited by a moderator: