JF Tanga mpoo??

JF Tanga mpoo??

jana nilikua nyinda aisee ni balaa, mbuzi kilo nzima. kidogo niombe poo karibuni tanga.
 
nyumbani hoteli, mkonge hoteli, tanga beach resort, nyinda, nyingine sizijui majina naendaga tu.
 
jana nilikua nyinda aisee ni balaa, mbuzi kilo nzima. kidogo niombe poo karibuni tanga.
Halafu wewe acha uchokozi.........! mbona sikukuona pale nyinda? jiunge kwenye group fastaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom