trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 746
Naitafuta Msata kwa njia ya Bagamoyo,nakuja Tanga..
Jioni njema kwa wana CC wa wing zote...
Jioni njema kwa wana CC wa wing zote...
Usiache kupata Mbuzi pale Nyinda......... Wallah Tanga nitarudi tena.......
hehehe...mambo ya maji ya ukili!!
Nashukuru mkuu Preta ,kwa hiyo panajulikanaa au uniambie na jina la eneo lenyewe la tukio?! Maana mbuzi-Nyinda..haitoshi.
Na nikifika sehemu husika,nitaripoti laaiv!
Unapenada kupiga njia za boda!
hehehe...mambo ya maji ya ukili!!
Hakuna sehemu nyingine Tanga inaitwa Nyinda.......ila eneo ki ukweli sijui linaitwaje.......
Ukilifikiria nyororo la ubungo-mbezi..aaaah.. we acha tu.. Na hii miradi ya mabasi yaendayo spidi,ndo usiseme kabisa mkuu..
Ule mradi wa ujenzi wamekabiziwa mm haa huu?
Naitafuta Msata kwa njia ya Bagamoyo,nakuja Tanga..
Jioni njema kwa wana CC wa wing zote...
Pana laga za kutosha pia? Ambiansi yake je?!