Arabela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 3,127
- 2,227
Arabela , na CHUAKACHARA usikuni mwema pia..
hujambo? Usingizi wa tanga ulikuwaje?
Last edited by a moderator:
Arabela , na CHUAKACHARA usikuni mwema pia..
Ntarudi town kwenye saa 1 hivi wenyeji wangu..
Hahahahahah...Wami na Segera wapi na wapi mkuu??
Hebu ipate Mkata kwanza....
Ila utafika mida ya kufungua milango pale Chichi....
Karibu sana ndugu..
Babu DC!!
Poa mkuu. Sie tupo, tunapata supu kidogo!
Supu mkuu? Mi ndiyo naanza safari ya kurudi kutoka huku wilaya ya Mkinga..
Poa mkuu, sie tupo tunakula Maulid...
Karibu sana..
Usiache kupata Mbuzi pale Nyinda......... Wallah Tanga nitarudi tena.......
Poa mkuu, sie tupo tunakula Maulid...
Karibu sana..
Babu DC heri ya sikukuu ya Maulid, naona mmepata mgeni asiefika kweli Tanga haihami sosi Filipo
Babu DC,usione nawakwepa wenyeji wangu.. Tena nawapenda kwelikweli.. ila niko na "wawekezaji"..na wanachukua karibu muda wangu wote..
Kesho tunamaliza,kwa hiyo jioni itakuwa poa...
Copy: Arabela , CHUAKACHARA , KOKUTONA , YNNAH , MWAYASI and all JF Tanga wing members.
NB.niko Upare [.......]
Upare tena?
Wakarimu sana hawa watu mkuu Lily Flower ...
Acha kabisa. Kesho nadhani tutaripoti laiiv..kutoka Tanga..