kuna peasant, punain red, belo, arsene wenger, kibunango, afrodenzi,
Nyie binadamu nyie, natamani niwawekee sungusungu awe anawaleta kule kwetu kila wiki!! Maana utadhani mna madeni kwenye uzi ule....!! yaani hamkanyagi kabisa.Mate wangu MTM.
We never walk alone.
Kwa mabibie... Afrodenzi.