Kuna aliyepokea ujumbe PM toka JF wa stories of change mpaka sasa

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Kuna post ya ukurasa rasmi wa JF kule Twitter nimeona umepost kuwa zoezi la kuwasiliana na wanaoelekea kuwa washindi wa shindano la stories of change tayari limeanza

Je,kuna yeyote mpaka sasa kapokea ujumbe PM
 
Back
Top Bottom