Chain of command TAMISEMI

Nguva Jike

JF-Expert Member
Jan 22, 2018
853
1,005
Habari wana JF.

JF ni kisima cha habari na maarifa mengi sana kwa tusiyoyajua.

Naomba kufahamishwa kule Dodoma TAMISEMI Mtumba mji wa serikali ofisi ya katibu mkuu Tamisemi ipo sehemu gani?

Na pia katika chain of command suala likishindikana kwa katibu mkuu sehemu inayofuata ni wapi kwa kulipeleka?
 
Back
Top Bottom