JF Receptionist of the year.....!!

JF Receptionist of the year.....!!

kaeso

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
548
Reaction score
97
Hivi zile kura zinazokuwa organized na Superman mbona haziangalii kundi hili?? Hawa jamaa wa lile jukwaa nawahusudu sana kwa jinsi walivyo wakarimu......
Erickb52
Chatu Dume
Sweetlady
Ulimakafu
Katavi.......na wengineo.

Namsubiri Superman....!!!
 
Lol
Kweli Kaeso umeamua kutuandama...
Narudi baadae kidogo
 
Kwa ushindani wa hao members kwenye hiyo thread sijui nani atachukua hiyo tuzo hapo.
 
Tehe tehe....anakucheleweshea ushindi?
Hapana katavi, nataka aje akupe haki yako, kweli unastahili manake huwa unawakarimu sana wageni wetu.

Hongera sana na uendelee na moyo huo, huo.
 
Back
Top Bottom