Habari ya hapa ndani waungwana? ukweli tutakubaliana humu ndani kuna raha yake jamani kuna watu kazi yao nikuwafanya watu tuwe na furaha kila tuingiapo humu ndani mf.kuna mtu ana itwa Tangopori huyu bwana kila "post" ye anataka "picha" tu basi mie hoi wakina madmB,heaven,na wengine wengi.mungu atubariki jamani.
Naona umefuraaaaahi roho na maungo yako yote...
Mpwa hebu nipe mwongozo, huu mwandiko kama wa jinsia pinzani? Nisije nikaingia choo chao wallah
Mpwa hebu nipe mwongozo, huu mwandiko kama wa jinsia pinzani? Nisije nikaingia choo chao wallah
tangopori ni mpiga picha
Naona umefuraaaaahi roho na maungo yako yote...
..muwekee picha akija ataulizia tu...
we endelea tu.......siku ukikutana na njemba mwenzio umkague sijui utakagua nini wallahi
we endelea tu.......siku ukikutana na njemba mwenzio umkague sijui utakagua nini wallahi
Mie nimeangalia majina yanayomfurahisha....nahisi siyo aina ya kuku anayeweza kula mayai yake....
Babu DC!!
Kwanini mimi hujanitaja?
Haya jinsia yako tafazali?
Kama ni KE, sikumbuki kama nlishakukagua. U kam zis wei chapchap sana.... tena without...
Mpwa hebu nipe mwongozo, huu mwandiko kama wa jinsia pinzani? Nisije nikaingia choo chao wallah
Hahaha!!! mpwa kuna wakati mwingine inabidi ukaushe tu usubirie hadi mtu ajichanganye....mi mwenyewe hata sielewi hapa tunadili na ME au KE
hapa hajichanganyi mtu nyie jadilini tu me au mke mtakesha