The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,281
"Make it my Hompage".
Mkuu, sahihisha hilo neno lililokosewa.
Otherwise, the page looks great.
Mkuu, sahihisha hilo neno lililokosewa.
Otherwise, the page looks great.
Jamani wale wanaoona font ni ndogo mmeshaelekezwa. Fanya hivi! bonyeza CTRL wakati huo huo bonyeza na +++ lazima font zitaongezeka na bonyeza - - - kupunguza. Msiwape kazi zaidi ma designers!Big up JF team, kuna members wanasema font zimekuwa ndogo nafikiri hii inasababishwa na upana wa window, ningeshauri left margin ya paragraph iwe kama zamani yaani ianzie usawa wa inapoishia frem ya Avatar.
Wakuu,
Dakika chache zijazo tutaibadilisha JF mwonekano, bado kuna vitu vichache vya kumalizia ambavyo tutaviweka w/end hii...
Sasa basi, tungependa kupata maoni yenu juu ya nini mnaona kinafaa kuongezwa na kipi kirekebishwe.
Logo itabadilika, miziki itaongezwa na chat inafanyiwa marekebisho ya mwisho, stats (missing) zitarekebishwa.
Tunatumaini mtatujuza kwa kuandika hapa ama kwa njia ya barua pepe: support@jamiiforums.com
Its just beautiful!
wananiudhi sana hawa kila siku kubadilisha vitu tu ni kukosa kazi ya kufanya wanakuwaje sijui..mi ndo maana nataka nichukue u MOD
So cool, i like it
Good!
Keep it changing for the best of our interest!
Inavutia sana.
Yeah imependeza!
Hongereni sana JF admins. Keep up the good work !
Ina muonekano mzuri sana. Tatizo kwa ambao umri umeenda, fonts za maandishi ni ndogo, ongezeeni kidogo
chat room chat room ipo wapi????????????
mnaniboa for real.............
Great work JF Mods,i appreaciate this.
exellent changes. looks new/better indeed, they have done nice job, easy to navigate and simplified links..to me as of now no complain..:clap2:
i love the beautiful appearance, so cool so nice..wooh
Duh mambo yanazidi kubadilika tu kila siku hongereni sana wataaluma
It is beautiful:clap2:
Jf hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
Kwenye PC its okay sijui kwenye simu, mambo ya chatting na music wamesema wataendelea kuyaweka throughout the weekend
By the way mkuu mbona hutumii simu (posted via mobile):suspicious: