JF Pre-Launch, toa maoni yako!

JF Pre-Launch, toa maoni yako!

poleni kwa kazi nzuri,dosari kidogo niliyoiona ni hapo kwenye jina rangi imekolea sana kiasi kwamba inasomeka kwa tabu
 
Wapwaz binafsi sijafurahia this new JF look kwa vitu vifuatavyo

Majina (ID) na status zilivyokuwa mwanzo ilikuwa yanifaa zaidi kuliko ilivyo sasa!
Bar inayobeba Forum menus............ni kama imefunikwa na mirangi rangi na makorombwezo mengine inanichukua muda kuiona

Ni ayo machache
 
Ni wazi kuwa the new design ni kero kwa wengi, we will switch back to the previous one soon, wacha nayo tuiweke sawa, shukrani kwa comments zenu wakuu
 
Du..
Anko, ni kwa vitu viwili tu unaiponda Version nzima?...All in all Kuna thread ilifunguliwa kwaajili ya kuweka huko vitu vyote tunavyoviona kuwa na kasoro ili vitazamwe upya!
 
Wapwaz binafsi sijafurahia this new JF look kwa vitu vifuatavyo

Majina (ID) na status zilivyokuwa mwanzo ilikuwa yanifaa zaidi kuliko ilivyo sasa!
Bar inayobeba Forum menus............ni kama imefunikwa na mirangi rangi na makorombwezo mengine inanichukua muda kuiona

Ni ayo machache
Du!
Haya bana!
 
Kwa nini hii michango isingendeelea kule kwenye post ya mxence... nadhani ingesaidia kuweka sehemu moja ili kuwa na urahisi kwa Mods kuyaratibu maoni yetu
 
Hongera Management ya JF...Nimeona kwa macho sura ya JF ikibadilika...
Nimefurahi sana..na inapendeza ..mengineyo tutajuzana!
watu wengine bana.....mpaka waanzishe thread tu.....thread si kaweka max mpaka na wewe uweke yako? ngrrrr
 
Ni wazi kuwa the new design ni kero kwa wengi, we will switch back to the previous one soon, wacha nayo tuiweke sawa, shukrani kwa comments zenu wakuu

Nadhani si vibaya hii hii mpya mkiiboresha zaidi its a step forward yanini mtuturudishe ujima?
 
Nimeipenda sana tayari ila bado music inakuwa ngumu kuaccess kwangu sijui ni kwanini?
 
Ni wazi kuwa the new design ni kero kwa wengi, we will switch back to the previous one soon, wacha nayo tuiweke sawa, shukrani kwa comments zenu wakuu
Nadhani jambo jema kulifanya ni kuangalia maoni yanayotolewa na kuingiza hayo marekebisho na si kurudi nyuma kwenye ya zamani.. daima mbele
 
Ndugu Moderator,

Nilikuwa napendekeza kama inawezekana kufanya JF kuwa window based forum, kwa mfano naweza kufungua main JF window still ika niruhusu kufungua sub window zingine kama jukwaa la siasa, naweza kuwa nachangia kwenye jukwaa la siasa na kwenye habari mchanganyiko bila kufunga window moja, yaani ikiwa window based itarahisisha kuendelea kufungua window moja baada ya nyingine kadri ya uhitaji wako bila kufunga window ya awali kama ilivyo sasa.

Nashukuru kwa kazi nzuri ndugu zangu.

Kuhusu hili la window wala haina haja ya JF kushughulika nayo..Let me give you a technic..Ukishafika pale kwenye forums, usidouble click link moja kwa moja i.e Jukwaa la siasa, bali right click na utapata options za ku-'open link in new window'..hapo utaopen na kuendelea na shughuli za Jukwaa la siasa..then unaendelea na mtindo huo kwenye forums nyingine unazotaka hata kama ni kumi! Hope mmenielewa wale mlio kuwa hamjapata hii mbinu.
 
Mods,
Mbona kwangu inakataa kulog in nikiwa kwenye mobile browser hadi nitumia Opera ndo inakubali.... nakosea wapi?.
 
Pawepo mathalan alert ya kumkumbusha mjumbe post mpya ikiingia wakati akiwa kwenye thread nyingine....
 
muonekano ni mzuri sana.... kwa kweli nw imependeza sana....... big up kwa waliofanikisha
 
Hata Mimi nimeupenda sana.
Asanteni Wahusika kwa kutuwekea ''Chachandu'' kwenye muonekano wa Jamvi letu tukufu.
 
Ndiyo ni mzuri, lkn unahitaji muda kuuzoea. Mbona majina ya wachiangiaji hayaonekani ila avatar zao tu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom