Dah, kazi kweli kweli.Wapwaz binafsi sijafurahia this new JF look kwa vitu vifuatavyo
Majina (ID) na status zilivyokuwa mwanzo ilikuwa yanifaa zaidi kuliko ilivyo sasa!
Bar inayobeba Forum menus............ni kama imefunikwa na mirangi rangi na makorombwezo mengine inanichukua muda kuiona
Ni ayo machache
Tutarekebisha hata hiyo ya manzo mkuu... NotedPost za kuanzia juzi na kurudi nyuma hazionekani kwenye profile ya muhusika, mmezifuta au? hii pia iliwahi kutokea mlipo badilisha ile ya manzo.
Tutarekebisha hata hiyo ya manzo mkuu... Noted
This was fixed, hata ile ya Make it my Homepage tumeirekebisha.Ndiyo ni mzuri, lkn unahitaji muda kuuzoea. Mbona majina ya wachiangiaji hayaonekani ila avatar zao tu??
Mkuu, tulikiondoa kwakuwa tulitambua kuwa browsers nyingi za kisasa:kitufe cha 'remember me' wakati wa kusign in hakipo, kinaweza kurudi?