JF Pre-Launch, toa maoni yako!

JF Pre-Launch, toa maoni yako!

Mimi naona upunguze possibility wa wadau kuongeza their own styles kwenye threads and posts zao. Yaani at least kuwe na uniformity kwenye posts and threads. Najua kuna watu huwa wanapenda kuwaka styles mbalimbali kwenye threads/posts zao. Wapo wanaopenda kuandika in italic, in bold, in big font size, others in their favourable colours, nk. Lakini sometimes hizi styles zinadistract others and pia flow ya posts.

Ability to create personal styles ndio iliyofanya Myspace ife kifo cha mende. Too much access killed Myspace. Basically users were given to much ability to create and script their pages. Moja ya vitu vinavyofanya facebook iwe so popular ni uniformity and simplicity. Facebook succeeded because they made it simple enough for even a middle of the class 10 year old to use.

Kwa mfano sasa hivi ukiangalia font size za signatures ni kubwa kuliko posts which may suggest that signatures are more important than posts/threads. kwa mfano angalia post na signature ya PakaJimmy hapo juu. Post yake imejificha wakati signature yake ni kubwa na ina rangi tatu. This is not to disrespect PakaJimmy, is just as an example on what I mean. Angalia pia ya Maxshimba hapo. Signature inaonekana zaidi ya post yake. Matokeo yake tunaweza kuishia kusoma signatures badala ya posts zao.

Pia kwa style hii ya avatar kuwa juu, ina maana sentensi za posts/threads zitakuwa ndefu sana. Hii inaweza kuwa ngumu kwa baadhi kusoma posts/threads ndefu na zile ambazo hazina hata paragraphs. With this current font size, and the avatar on the top, the sentences look very long in deed.

Mkuu nakuunga mkono kwenye suala la kufanya muda wote posti sisomeke zaidi ya mengine.......
 
Duh mambo yanazidi kubadilika tu kila siku hongereni sana wataaluma
 
Mkuu imetulia kwa kweli, nilidhani nimepotea nilipoifungua kwa mara ya kwanza! Big up
 
Kwenye mobile edition hakuna kilicho badilika, zaidi ni kwamba kitufe cha kureport na cha thanks vimepotea.
 
1. Hongereni kwa kazi nzuri.
2. Ninaomba kitu kimoja tu: Kuna mtindo/trend imejitokeza hapa karibuni wa mtu kuamua kuzuka na mada zisizo na mantiki kwenye jukwaa husika.Mfano ni hii ya AMARIDONG ( MWENYE AVATAR ZA MKAPA, JK NA HOSEA!) INA kichwa cha habari "Kuna tofauti gani kati ya tigo na "? .Hivi kweli JF ni mahali pa ku dump kila takataka? Mtu kama huyu anataka kutuambia kuwa hii ndio njia nzuri ya kutumia JF? Kama ana access na internet kwanini asitafute hii info kwenye internet? Analeta hii hapa ijadiliwe? Jukwaa lenyewe sidhani limewekewa embargo kuzuia under age.Nimetolea huu mfano tu lakini zipo thread nyingi kama hizi na hata baadhi ya wana JF walisha raise kamaa concern.
3. Ningeomba kama inawezekana kuwe na utaratibu katika rules wa kusimamisha michango yenye kuingiza mizaha kwenye threads makini na kupoteza ladha au mwelekeo.Ingewezekana mkaanzisha jukwaa la " catching up" ambapo buddies/mabinamu etc wanaweza kukutana na ku catch up mambo yaliyojiri kwenye viti virefu na vijiwe vingine ( no offence intended..mnisamehe kama mtakwazika)

Ni hayo tu.
 
Si kila mtu anashinda humu kujua nini kiko wapi. Weka link ya hiyo topic hapo
 
Hongera sana mkuu! Nitakutumia private message, ila kazi hii ni nzuri sana kwa kweli! I have not seen anything like this in tanzania not yet! Vipi section ya instant charting? Ilimradi iwe katika stile ambayo haitadominate hizi pages maana hapa pana utamu wake sometimes you can come back na kucheki maendeleo ya charting! Instant inaweza kuwa inatokea na kudisapera mfano kipindi cha breaking news, matukio nyeti ya kitaifa na kimataifa itapendeza! Si lazima iwe hewani wakati wote!
 
Mkuu mabadiliko si mabaya, muonekano ni mzuri...! Ila ombi langu kwako ni moja tu. Naomba lile jukwaa la Dini na Imani liweze kuonekana na kila aliye mwanachama na asiye mwanachama.

La ikishindikana basi liweze tu kuonekana kwa watu wote, kama vile yanavyo onekana majukwaa mengine mfano: Premium Members au JF Store au jukwaa la Complaints, Congrats & Advice ila access ibakie kwa wale wanachama au walio leta maombi ya kuwa na acceess uko.


Jambo lingine mkuu, kwenye jukwaa la Jamii Intelligence, ukipost Topic mpya inachukuwa muda kidogo, mpaka pale moderator watakapo soma ulicho post na kukiona kuwa kinafaa ndio topic inakuwa hewani, lakini mkuu mmesahau kuwa wanao changia wote kwenye hiyo topic, walicho changia kina onekana instantly, je hili si tatizo? Kwani kile msicho kitaka kutoka kwenye topic mpya akiwezi kuwekwa kwenye majibu ya topic ambayo nyinyi mmekwisha idhinisha kuwa inafaa kuwepo kwenye jukwaa la Jamii Intelligence?


Shukrani
 
Mwonekano wa awali unaonyesha kuwa safi, ongera kwa kuweka Sign in boxes wazi!

Nimefurahi kuwekwa kwa search na facebook katika home page!
 
Pamoja na mambo mengine naomba JF muwe na utaratibu wa kuweka *flashing* moving words of Breaking News (national/international news)kwenye upper page za forums kama yale maandishi ya kukaribisha members na guests yalivyokuwa yanapita.
 
Wakuu,

Dakika chache zijazo tutaibadilisha JF mwonekano, bado kuna vitu vichache vya kumalizia ambavyo tutaviweka w/end hii...

Sasa basi, tungependa kupata maoni yenu juu ya nini mnaona kinafaa kuongezwa na kipi kirekebishwe.

Logo itabadilika, miziki itaongezwa na chat inafanyiwa marekebisho ya mwisho, stats (missing) zitarekebishwa.

Tunatumaini mtatujuza kwa kuandika hapa ama kwa njia ya barua pepe: support@jamiiforums.com

congratulations na pole for hard work,

kuna mahali palikuwa pameandikwa "USERCP" kwangu palikuwa very useful. please kama kuna uwezekana mkarudishe kalikuwa kanarahisiha kufuatilia post ulizochangia au thread ulizoanzisha na kuzujibu kirahisi.

thanks and best wishes
 
Managing change is hard,but i like the new JF,hopefully will get used to it.Congratulations to you with lots of gratitudes for the job well done!!:clap2:
 
Jf hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!
 
Nimeyapenda haya mabadiliko, ni mazuri sana, hongera max na team nzima ya JF
 
Safi sana wakuu msisahau ile chat room niwe nachat na mamangu wiselady!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom