JF Pre-Launch, toa maoni yako!

chat room chat room ipo wapi????????????
mnaniboa for real.............
Mkuu. taratibu!
Unataka kuingia kwenye serious business na raia fulani nini kiongozi?
Kwa sasa tumia PM...though utaipata chatroom soon!..jha ha haaa!
 
Max and your Team,
Kazi mliyofanya ni nzito na mnastahili pongezi kubwa. Matokeo yake so far ni mazuri mno.
Keep it up!!!
 
laptop yangu ilivunjika screen........ sasa leo mchana nikapata mpya...cha kanza nikafungua jf na kukuta inteface ya maana....... nikaanza nikshangaa hii laptop mpya vipi?......... kwa kweli iko poa sana...........ibaki hivi hivi hadi baadae huko mahitaji yakiongezeka
 
:clap2:Naomba fonts zinazotumika ziongezwe ziwe kubwa. Zilizopo sasa hivi ni ndogo na wengine miaka imekwenda hatuoni vizuri herufi ndugu. Natanguliza shukrani.:clap2:
 
NApenda kutanguliza shukran za dhati kwa ungozi wa JF kwa kuweza kutuwekea skin mpya ya JF japo wameoverlook suala la chatting.

Nachelea kusema JF new skin sio friendly user kwasababu nadhani we need sometime to evaluate. Lakini inachanganya hasa kwa tunaotumia simu.

Je wewe ukiwa mdau unaonaje?
 
Kwenye PC its okay sijui kwenye simu, mambo ya chatting na music wamesema wataendelea kuyaweka throughout the weekend

By the way mkuu mbona hutumii simu (posted via mobile):suspicious:
 
:clap2:

Kimsingi iko vizuri ila inabidi waongeze kagepu kidogo toka inapoishia post ya user mmoja na kuanza post ya user mwingine
 
yes Have noticed some changes late this evening. Looks better na wamejaribu kurahisisha links zimeoboreshwa na zinaonekana kwa urahisi. Well done JF Guys:A S crown-1:
 
:clap2:

Mkuu kimsingi iko vizuri ila inabid kagepu kidogo kaongezeke toka inapoishia post ya user mmoja na kuanza post ya user mwingine maana zikibanana kama hivi zinaumiza macho. Well done
 
exellent changes. looks new/better indeed, they have done nice job, easy to navigate and simplified links..to me as of now no complain..:clap2:
 
wananiudhi sana hawa kila siku kubadilisha vitu tu ni kukosa kazi ya kufanya wanakuwaje sijui..mi ndo maana nataka nichukue u MOD

Mpuuzeni huyu .. labda ni kukosa uelewa. Kuna utilities nyingi mpya zinazorahisisha utumiaji.. Excellent Job


 
Big up JF team, kuna members wanasema font zimekuwa ndogo nafikiri hii inasababishwa na upana wa window, ningeshauri left margin ya paragraph iwe kama zamani yaani ianzie usawa wa inapoishia frem ya Avatar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom