JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

jamaniiiii madam kwanini wewe hujii
 
Last edited by a moderator:
Come on, gonna miss this.
 
dah.kama utakuwepo itakuwa poa sana, na ulivyo bomba! utawafunika wote...! hamna cha........wala.........!lol
 
Kipenzi miss neddy, ningependa sana kuja Sema kuna harusi naisimamia mpenzi.
Lakini usijali tutakutana tu.
Party njema.

habari mbaya sana ila ule ushauri wa watu kuanza kupiga pic halafu kuanza kudiscuss ni mzuri sana

hao ni vishoka na inabidi kuwa nao makin

Harusi njema shoga angu
 
habari mbaya sana ila ule ushauri wa watu kuanza kupiga pic halafu kuanza kudiscuss ni mzuri sana

hao ni vishoka na inabidi kuwa nao makin

Harusi njema shoga angu

dah.sisi wengine tuko mbali ina maana hamtatuwekea picha huku ya party?mtakuwa hamtutendei haki
 
habari mbaya sana ila ule ushauri wa watu kuanza kupiga pic halafu kuanza kudiscuss ni mzuri sana

hao ni vishoka na inabidi kuwa nao makin

Harusi njema shoga angu

Asante shoga angu.
Nilitamani niwepo.
Ni kweli maana baadhi si wastaarabu.
Raha mkutane palepale na yaishie palepale hayo ya kuanza kuitana chemba wala hayapendezi.
Poa shostito.
 
Yaani tangu jana nimeuliza mara tatu hiyo Escape 1 Pub iko wapi ili nitume mchango lakini mpaka sasa hakuna aliyenielekeza, sasa sijui hiyo party ni kwa ajili ya wateule fulani tu au ni wanaJF wote? Anyway nawatakia kila la heri remember to play safe in all angles bado tunawahitaji kujenga taifa letu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…