JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

JF party kesho, mambo iko kule. Usingoje kuhathiisiwa

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,190
Namasteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mambo ymekwivaaaaaaaaaaaa! Kesho ndo kesho! Asemae kesho kuwa ni MUONGO!!!!!!!!!!!!!!! Saa 11:00 Juu ya Alama kitu kinaanza!

Watu wenye P.O.BOX zetu MMU (Nilipokopa hi 30k, acheni tu! Ila heri DENI kuliko FEDHEHA! Just imagine makelele yote humu MMU Kubwa la maaui nionekane BROKE A.ss si mambo ya aibu na fedheha kuu! Kujikosha kosha nasafiri, niko busy, kumbe 30k sina????? Ningeificha wapi sura yangu? Ulienikopesha UMENISITIRIJE!!!!!!! Mwaaaaaaah!) , Watu na maconfidence yetu, tuko standby!

Watu 8, Sukari ya warembo kesho patachimbikaje? Six Pack zitazua kizaa zaa!!!!!!!! Sitaki kuhadisiwa mie! Mwaka jana ilioa jicho kama mjusi kabanwa na mlango kuchungulia six pack! Na busara zako huku jamvini patakuwaje hapatoshi! Kama nakuona Jpili ukiamka PM zimejaa aje! Mmmmmmmmmmh! Mie nitakula kwa macho tu!

Maandalizi binafsi nmeona nije simple simple tu, sitaki makuu na kujionesha mtoto wa watu! (Kumbe uwezo unagomba! Sina hata kumi ya gauni hapa nilipo! LOLEST! Sizitaki mbichi hizi!)

Haters wangu wote wa JF kiwemo miss neddy kumbe mpo BROKE kiasi hicho! Im so disappointed about you! Kuniitaga maskini kubwa! Mshamba! Mashauzi ya bure! Kumbe nyie ndo uwiiiiiii!!!!!!!! Loooooh! 30K inawashinda? NO WONDER YOU ARE SO BITTER!!!!!!!!

Ndo tuna finalise maandalizi hapa! Mkae mkao wa kuparty na watoto wa mujini!!!!!!!!!! KESHO NDO KESHO! Wanaume wa JF I feel really disapoined, mikwara mingiii ku text namlipia Lara 1, asimlipie mtu, nitamwaga damu (Unajijua ulie text hii) kumbe mneno matupu hayavunji mfupa! Loooooooh! Vichuna wote hawa, sijaona hata mkijitoa kivile kulipa watu! Jmavi hili LATAKA MOYO! Loooooh!

Wale miloomba Pooh! mambo hayajakaa fresh mfikiriwe kidogo mda, haya malizieni kutuma 0715729292 TIGO PESA NA MPESA NI 0752729292 KAUCHAKAVU NI KALE KALE 30,000/ 30K TSH. Ukieka na ya kutolea ni uungwana zaidi!

RATIBA
JF PARTY
ESCAPE 1 PUB
25.01.2014

17:00 – 17:30 Kuwasili ukumbini
17:30 – 18:15 Kukaribisha wageni, vinywaji
18:15 – 18:30 Ufunguzi rasmi na kufungua champagne na cheers
18:30 – 19:00 Utambulisho wa mgeni rasmi
19:00 – 19:20 Mageni rasmi kusema chochote
19:20 – 20:30 Chakula na vinywaji
20:30 – 21:30 Chit Chat
21:30 – 21:45 Maneno kutoka kwa waandaaji
21:45 – 06: 00 Dancing, Drinking, Chitchatting, etc

269624_524419780926657_314362659_n.jpg

1497700_619133411455293_105132098_n.jpg

21148_523430101025625_23621355_n.jpg

47979_552711848097450_1644893273_n.jpg
 
Ni kuhadithiwa sio kuhadisiwa.. Kiswahili kigumu eeh? Powa, tumekusoma lakini! Naisubirije kwa hamu mie???
 
Haya mtuupdate kuhusu yaliyojiri loh!!!

Hahhaaaaaaaaa! Hamna Update wala nini! Mambo kimya kimya tu! Labda WOSIA WA OWNERS WA JF! Nani alivaa nini, alikua kujaje SIRI YA PARTY HIO! Ukihisi umebea utakupita lipiaaaaaa! LOL!

Otherwise wengine tukaoshe macho kesho! NAWAHI SITI NEXT TO Watu 8! ! LOL! Avumae baharini PAPA japo wengine pia wamo, ila mie huyo PAPA ndo naemtaka! Hahahaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Ntawahi!? Kuchangia getini inakubalika!?
 
Ni kuhadithiwa sio kuhadisiwa.. Kiswahili kigumu eeh? Powa, tumekusoma lakini! Naisubirije kwa hamu mie???

Wengine sio wapare hatuna kithembe!!!!!!!!The! The! HATUNA! Kingreza tunaweza ZE! Kaswazi tunaweka Se
 
Kadi tunazikuta wapi au kuna ID gani ya kuingilia?Pili,kuna any items(ratiba) maalumu iliyopangwa tofauti na kujiachia?
 
Ntawahi!? Kuchangia getini inakubalika!?

Mwisho leo! Asubuhi wanalipia MENU, na DRINKS! Ukichangia getini unafikiri atafanyaje hususani issue ye MENU!
 
Wawakilishi wanakubalika kutuwakilisha baadhi yetu tutakao shindwa kuudhulia maana tumepata mualiko kwa Waziri na Naibu.......
 
Kadi tunazikuta wapi au kuna ID gani ya kuingilia?Pili,kuna any items(ratiba) maalumu iliyopangwa tofauti na kujiachia?

Ratiba IPO, Kadi zipo, Atakuja Mtambuzi kufafanua kwa KINA, ndo EVENT MANAGER!!!!!!!!! Vuta subira kidogo tu!
 
Last edited by a moderator:
Hahhaaaaaaaaa! Hamna Update wala nini! Mambo kimya kimya tu! Labda WOSIA WA OWNERS WA JF! Nani alivaa nini, alikua kujaje SIRI YA PARTY HIO! Ukihisi umebea utakupita lipiaaaaaa! LOL!

Otherwise wengine tukaoshe macho kesho! NAWAHI SITI NEXT TO Watu 8! ! LOL! Avumae baharini PAPA japo wengine pia wamo, ila mie huyo PAPA ndo naemtaka! Hahahaaaaaaa!

ok, hiyo namba haina haja ya kusema mimi ni nani si ndio! yani litumike jina langu halisi na sio ayanda

sitaki kujulikana, nataka kwenye party nijitambulishe my real name and nobody should know that am the ayanda maana mh inaweza kua balaa aisee.

kwahiyo party inaanza saa tano asubuhi ama saa kumi na moja jioni ? sijaelewa aisee

nitatuma later
 
Jamani lara 1 ndo wanirusha roho hivo :frown::crying:....Siwezi kuja niko mbali!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtoto wa kike punguza basi machepele!

Hahahaaaaaa! WAPARE NI WATANI ZANGU KIHALALI KABISAAAAAAAA!!!!!!!!! So Mtani wewe ulizana tu pande za Mwanga na Same hapo! Ni mimi Mangi Mtani wako wa Marangu!
 
ok, hiyo namba haina haja ya kusema mimi ni nani si ndio! yani litumike jina langu halisi na sio ayanda

sitaki kujulikana, nataka kwenye party nijitambulishe my real name and nobody should know that am the ayanda maana mh inaweza kua balaa aisee.

kwahiyo party inaanza saa tano asubuhi ama saa kumi na moja jioni ? sijaelewa aisee

nitatuma later

Pary inaanza saa Kumi na Moja............

Haina haja ya kusema we taja jina lako tu kadi iandikwe fulani bhaaaaas hayo ya kuwa wewe
ni Ayanda utayajua mwenyewe
 
ok, hiyo namba haina haja ya kusema mimi ni nani si ndio! yani litumike jina langu halisi na sio ayanda

sitaki kujulikana, nataka kwenye party nijitambulishe my real name and nobody should know that am the ayanda maana mh inaweza kua balaa aisee.

kwahiyo party inaanza saa tano asubuhi ama saa kumi na moja jioni ? sijaelewa aisee

nitatuma later

Wewe tu na roho yako! Hata ukimpa mtu wa mpea atume kwa jina lake poa tu! Kujitambulisha SIO LAZIMA! Maybe ukijisikia! We tuma, sema mie Zubeda, ndo nimetuma! Haina neno!
 
Hahhaaaaaaaaa! Hamna Update wala nini! Mambo kimya kimya tu! Labda WOSIA WA OWNERS WA JF! Nani alivaa nini, alikua kujaje SIRI YA PARTY HIO! Ukihisi umebea utakupita lipiaaaaaa! LOL!

Otherwise wengine tukaoshe macho kesho! NAWAHI SITI NEXT TO Watu 8! ! LOL! Avumae baharini PAPA japo wengine pia wamo, ila mie huyo PAPA ndo naemtaka! Hahahaaaaaaa!

Wacha wee......
Na yale macho yake sasa!!!
Angalieni watu msije mkaitika kabla hamjaitwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom