JF PARTY IS GOING DOWN THIS EVENING! People Are You Ready!!!!!!!!! The Shit is Happening Today!

JF PARTY IS GOING DOWN THIS EVENING! People Are You Ready!!!!!!!!! The Shit is Happening Today!

Weka picha..

fat_lady.jpg
 
Mambo byeee warembo wa kumwagaaa
 
Mmekaa wapi? Au ndo mwendo wa anonymous!?
 
Shikamoo....aisee nimezungukwa na Warembo daaah damn it mwekundu you nailed it

Nilewe tilarila...lakini oh...one for the road
 
Mbwe mbwe tu...sioni mtu still! Au waarabu waPemba nyie...
 
Namsteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

PEOPLE ARE YOU READYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYYY!!!!!!!!!!!!!!!! It is GOING DOWN this evening! Ndo tuko kwenye kumalizia malizia maandalizi!

Things are finally Happening!!!!!!!!!!!!!

Bado tuko maskani tunapasha pasha TRYIN TO GET THE RIGHT MOOD!!!!!!!!!!!!!

MTAJIJU AMBAO HAMJALIPA!!!!!!!!!!!!! (Na nyie mnaojifanya ooh nimeuliza sijajibiwa ndo maana sijalipa ZIP IT UP! Hujalipa cause you are BROKE,USIJIKOSHE KOSHE!)

WERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! Will be UPDATING YOU!

Update! Warembo wa kufa mtu! Weraaaaaaaaaaa!
miss neddy ana p.o.box bwanaaa! Inabidi nimuombe radhi ! SI KATINGA BWANAAA LIVE NDANI YA RED CARPET! Chombo cha ukweeeeeeee!

MAMBO INOGILEEEEE! KITU MWAKE MWAKE!

Update

mwekundu ajibinafsishia vimwana! Meza ya watu 6, 5 wote warembo wa ukweeeee!

Aaaaaah! Mimi sikujulishwa eneo mapema ningetia timu tu leo. Siwezi kuwa broke kwa 30,000 hata siku moja. Anyway ngoja tuwaache dotcom mjirushe bwana. Next time Lara 1 kumbuka post ya kwanza unaweka maelekezo ya kutosha. Ngoja nifunge ofisi nirudi zangu nyumbani kusimamia homework za vijana wangu bwana.

Anyway kila la heri saaaaaana jamani. KUMBUKA KUCHEZA SALAMA BADO TUNAWAHITAJI.
 
Nilikuwa counter..now nipo hapa juu upande wa restaurant!
 
Daah...leo nakaa ukutani nashikia viuno vya Lara 1
 
Back
Top Bottom