Aiseeeeee.
Aiseeeeeee..
Aiseeeeeeeeee
Party njema wadau!!!
Khaaa mbona nimepata taarifa wengine wameshafika eneo la tukio wanaogelea ufukweni na viswiming kosti vyao...werawera hakuna kuoneana aibu wala kuulizana ID
Party njema wadau!!!
Mkuu pole sana,
Kwa sasa unahesabiwa kuwa umemung'unywa na karo za vijana...
Tulia tu na Mama Rhobi usubiri updates za uongo na ukweli!!
Babu DC!!
Shkamoo Babu.
Will be UPDATING YOU!
Maneno mengiii umelipa?
kwanini tusiulizane ID au wengne akina ASHA NGEDERE na MWAJUMA NDALA NDEFU