JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

watu8 na lara 1... kuweka sherehe kipindi hichi cha kulipa ada za watoto mashuleni mnatuonea...
 
Last edited by a moderator:
Kwani shida i wapi bidada...it's party time hivyo distance kuwa zero sio big deal

kama hivyo sawa maaana nimeuliza in advance mambo ya kutolewa manundu naogopa mnoooooo anyway ngoja nikamilishe mchakato mapemaaawaw kabla ya jumatano
 
Mkunde Original hapa chini ni mchanganuo wa bajeti nakuhusu masuala ya vinywaji, Kuponi zitahusika:

Cocktail Menu kwa makadirio ya watu 40 watakaohudhuria.

[TABLE="class: cms_table"]
[TR]
[TD]Mahitaji[/TD]
[TD]Idadi[/TD]
[TD]Gharama[/TD]
[TD]Jumla[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ukumbi[/TD]
[TD]1[/TD]
[TD]0[/TD]
[TD]0[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bites[/TD]
[TD]Kwa watu 40[/TD]
[TD]@15,000/=[/TD]
[TD]600,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vinywaji[/TD]
[TD]Kwa watu 40[/TD]
[TD]Beer 4 @3,000/=[/TD]
[TD]480,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Vinywaji Vikali[/TD]
[TD]Chupa 5[/TD]
[TD]@30,000/=[/TD]
[TD]150,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Corkage kwa vinywaji vikali[/TD]
[TD]Chupa 5[/TD]
[TD]@10,000/=[/TD]
[TD]50,000/=[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"][/TD]
[TD]Jumla[/TD]
[TD]1,280,000/=[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Kwa mchanganuo huo unaweza kuona kwamba kwa mchango wa shilingi 30,000 kwa kila mtu tunaweza kufanikisha hafla hiyo.

Baadaye nitaweka uzi maalum kuelezea ratiba kamili na namna ya kupata kadi itakayowatambulisha wahudhuriaji waliotoa mchango.
 
Last edited by a moderator:
watu8 na lara 1... kuweka sherehe kipindi hichi cha kulipa ada za watoto mashuleni mnatuonea...
Mkuu Tuko tangazo la kwanza kuhusu hii Party nililiweka tarehe 3 Disembe 2013 hivo kulikuwa na muda wa kutosha watu kujipanga na kulipa mchango kwa ajili ya hii party lakini pia tulikuwa tunapokea maoni kwa hiyo kama mwezi huu haufai kwa sababu ya mambo ya ada wadau wangesema na tungeshauriana na kupanga tarehe nyingine
 
Last edited by a moderator:

Dah... alafu mkuu mwezi January msimu wa kuandaa mashamba. Kwa sisi wakulima kuna mpango wa kuandaa walau Julay/August?
 
Last edited by a moderator:
Such a nice interview never seen b4,never get tired of reading ur answers @lara1 by the way lazima nije hata kwa crush program uniwie radhi kwa hilo.kwa kumalizia hongera Watu 8 kwa kuanzisha uzi huu hope umesaidia wengi
 
Last edited by a moderator:
Watu mliokuwa mmehaidi kutoa michango yenu toeni mapema kwani zinatakiwa wakalipie mahitaji hapo escape1 fanyeni fasta fasta!
 
watu8 na lara 1... kuweka sherehe kipindi hichi cha kulipa ada za watoto mashuleni mnatuonea...
Chagua moja sikila mwana jf anasomesha ukiona vipi achana nayo starehe gharama ukisikia ndo hiyo hivyo acha wenyekutaka ku party waendelee sisi wengine February tunarudi makazini ulaya.
 
Last edited by a moderator:
Chagua moja sikila mwana jf anasomesha ukiona vipi achana nayo starehe gharama ukisikia ndo hiyo hivyo acha wenyekutaka ku party waendelee sisi wengine February tunarudi makazini ulaya.

Sawa mzee wa Ulaya... mi ntakuwa huku Kisaki nafyeka msitu, nawatakia pari njema
 
Asante kwa taarifa broo ila kwenyevinywaji naona umewatenga wasiotumia kilevi, wanywa maji na juice inakuweje? Halafu kuponi inamruhusu mtu kunywa bia 4, zikiisha anaruhusiwa kujinunulia?
Good work mmejitolea na mmejitahidi sana hongereni. Nikipata ratiba ya party itaanza saa ngapi basi nami ntalipiamo niwemo walau nigonge cheers ya mwaka mpya na wadau wa jf.
Will appreciate much ukinijibu maswali hayo. Najua pia wako wengi wenye kuhitaji information hii.
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa taarifa broo ila kwenyevinywaji naona umewatenga wasiotumia kilevi, wanywa maji na juice inakuweje? Halafu kuponi inamruhusu mtu kunywa bia tatu, zikiisha anaruhusiwa kujinunulia?
Good work mmejitolea na mmejitahidi sana hongereni. Nikipata ratiba ya party itaanza saa ngapi basi nami ntalipiamo niwemo walau nigonge cheers ya mwaka mpya na wadau wa jf.
Will appreciate much ukinijibu maswali hayo. Najua pia wako wengi wenye kuhitaji information hii.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mbona ni utaratibu wa kila mwaka labda kama hukuwa na taarifa tu.

Mwaka jana 2013 tukio kama hili lilikuwepo wakati kama huu.

Btw 30,000Tsh ni pesa ndogo sana ukilinganisha na ada za nyakati hizi.

watu8 na lara 1... kuweka sherehe kipindi hichi cha kulipa ada za watoto mashuleni mnatuonea...
 
Last edited by a moderator:
Pamoja mkuu yote ilikuwa ni kuondoa mkanganyiko kwa wale ambao mwaka jana hawakupata fursa ya kuona namna hii shughuli ilivyoendeshwa.

Natumaini muitikio utakuwa chanya na wengi watafika...

Such a nice interview never seen b4,never get tired of reading ur answers @lara1 by the way lazima nije hata kwa crush program uniwie radhi kwa hilo.kwa kumalizia hongera Watu 8 kwa kuanzisha uzi huu hope umesaidia wengi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…