JF PARTY 25th JAN Exlusive Interview with lara 1...

Daaaah... I wish to see u jamani mamito!!!

Khaaaa... Ngoja nikusaidie kumtukana !($#-#=*=;-/($¤¤€¤£%~ zake!!!!

ahsante mwaya last time wakina Filipo na Arushaone wakatuuza ila nshatoka mwanza npo jirani na hapo he he tutaonana tu kipindi npo mwanza i was very busy yaani
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Tahadhari... Najua wanaume wengi humu mna hamu sana ya kumuona lara moko....

Kanitonya kuwa atakuwa na mbwa mkali sana kwa ajili ya ulinzi...

Hamkawii kuwa chakula chake ohooooo!!!!!

ha ha dah mi nataka sana kumuona lara.cjui itakuwaje
 
Hahah!!! badiebey tayari kashajikamatisha kwa Stunna ataishia kuntazama na kuchat nami kidogo tu...

he he badiebey akikuona lazima afaint mi sisemi bwana nsije nkakujazia pm afu wakakubook mapema nikose wa kushea nae juice akuuu
 
Last edited by a moderator:
ahsante mwaya last time wakina Filipo na Arushaone wakatuuza ila nshatoka mwanza npo jirani na hapo he he tutaonana tu kipindi npo mwanza i was very busy yaani

Usijali chipenzi... Yaan nina hasira nao acha kabisa. Nikikutana na mmoja wao kwenye Party lazima atalipa aiseeee....

Poa poa... Ukija jijini tuonane tasaval!!!!
 
Last edited by a moderator:

Nami naruhusiwa kujumuika
 
BTW wewe babu enzi za mwalimu... Lala tu, tutakupa updates hapahapa Jukwaani.... Hahahhaahaaa!!!!!!

Hata hizo update naomba msinipe....labda wajukuu watachambua cha kunisimulia endapo watarudi salama...lol!!

Babu DC!!
 
ahsante mwaya last time wakina Filipo na Arushaone wakatuuza ila nshatoka mwanza npo jirani na hapo he he tutaonana tu kipindi npo mwanza i was very busy yaani

Yaani umekuja halafu hujanitafuta.......

Utanitambua ......!!!!!!!!!
 
Hahah!!

Kwani ukitongozwa lazima ukubali bi mkubwa...

hakuna ulazima! Si unajua tena mara oh umependeza,unafanana na dadangu! Story full Khaa! Ebu nitafutie a lady miye 2jimuvuzishe zetu beach!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…