JF okoa Jahazi hili

Kijana bado mdogo isitoshe ni mtoto wa shule unakuja kuomba msaada wa kutongozewa,halafu unadai anakupenda..sasa kama anakupenda unaomba ushauri wa nini??
Kesho tu mnaanza kuhongana ada ya shule...Wazazi kweli kazi tunayo.
 
tatizo la wanaume wengi demu akikuchekea tu unaona anakupenda, du dada zetu washonwe midomo? soma kwanza wewe
 
Kijana bado mdogo isitoshe ni mtoto wa shule unakuja kuomba msaada wa kutongozewa,halafu unadai anakupenda..sasa kama anakupenda unaomba ushauri wa nini??
Kesho tu mnaanza kuhongana ada ya shule...Wazazi kweli kazi tunayo.

ndo naingia chuo mwaka huu mzazi so sio mtoto khvo bt thank for a gud advice
 
Ebu kusanya nguvu zako zote umtokee huyo msichana kama umempenda kweli, hiko ni kitu unachotakiwa kufanya mwenyewe ukiwa kama mwanamume....just go for it
 
jaman si mpitiage na threads nyingine coz kuna nyingi tu humu kama yako au zinazoendana na yako, mnarudia rudia wee ah, mxiuuuuuuuuu.............
Mnafanya kila siku tunafundisha watu namna ya kutongoza , halaf watu wenyewe watoto, si ajab unamfundisha mtu kwenda kukatongoza katoto au kadogo kako ka form two huko kah.......................
 
We kasome kwnza kijana, bdo una safar ndefu, ukchanganya mapenz na shule utafel mojawapo. Ushaur wang malza kwanza kusoma ndo uangalie upand mwngne wa mapenz.
 
jaman si mpitiage na threads nyingine coz kuna nyingi tu humu kama yako au zinazoendana na yako, mnarudia rudia wee ah, mxiuuuuuuuuu.............
Mnafanya kila siku tunafundisha watu namna ya kutongoza , halaf watu wenyewe watoto, si ajab unamfundisha mtu kwenda kukatongoza katoto au kadogo kako ka form two huko kah.......................

sio mtoto mdogo nae anaingia chuo mwaka huu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom