JF okoa Jahazi hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF okoa Jahazi hili

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbwiga88, Aug 22, 2012.

 1. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wadau wa JF naomba mnisaidie kuna binti nampenda nae naamini ananipenda pia nifanyaje kumpata though najaribu sipati signal bt i knw she loves me......nifanyaje hasa wadada nahtaj mawazo yenu na wakaka mnahusika
   
 2. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Peleka posa kwao!
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,347
  Likes Received: 2,683
  Trophy Points: 280
  sasa si umwambie au hauna uwezo wa kuongea?
   
 4. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kweli we mbwiga.....
   
 5. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Please nahtaj ushaur
   
 6. ODM

  ODM Member

  #6
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushauri gani huo? Mwambie ambake afupishe safari.
   
 7. N

  Neylu JF-Expert Member

  #7
  Aug 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Una umri gani mdogo wangu??
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  sa si umwambie.....khaaa....mwambie akikubali nitakuja kukusaidia kushikilia nani......
   
 9. Tungaraza Jr

  Tungaraza Jr Senior Member

  #9
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni PM number yake nikusaidie nikifanikiwa ntakujulisha kua mi TAYARI ikiwezekana naweka ndani 2020.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Aug 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,335
  Likes Received: 1,797
  Trophy Points: 280
  Hivi Hivi kichwa kichwa tu...lazima mashetani yawe yamekupanda kichwani Kaunga. Akienda kukuruka utafichia wapi uso wako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #11
  Aug 22, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Eti na yeye ananipenda, binadamu ni kitabu kisichosomeka. Mtongoze ndiyo utajua kama anakutaka. Watu siku hizi hawapendani kimapenzi bali wanatakana/tamaniana kimapenzi.
   
 12. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #12
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nina miaka 20 mkuu
   
 13. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #13
  Aug 22, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  asante mkuu
   
 14. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #14
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Eti na yeye anakupenda?? Unausemea moyo angekupenda si angeshakubali.....................domo zege nini dogo
   
 15. N

  Neylu JF-Expert Member

  #15
  Aug 22, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 2,650
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Umemaliza shule? Mapenzi na shule ni hatari...
   
 16. Majigo

  Majigo JF-Expert Member

  #16
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 5,418
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  "mbwigaaaaaa....."
   
 17. promiseme

  promiseme JF-Expert Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Mar 15, 2010
  Messages: 2,715
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 135
  Duh miaka 20 ushaanza kukimbilia chupi kwa kasi mapaka unaomba msaada, kijana au mwanamme hasifiwi idadi ya wasichana bali anasifiwa elimu alokuanayo,sasa ebu zidi kusoma hao wasichana watakufata wenyewe pindi utakapokua na elimu yako yakutosha,kumbuka taifa linakutegemea usijimalize nguvu mapema...
   
 18. ram

  ram JF-Expert Member

  #18
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,224
  Likes Received: 918
  Trophy Points: 280
  Miaka 20,wewe si bado unasoma wewe, hebu maliza shule kwanza, si ajbu huyo unemtaka ana miaka 16, hapo ni mapenzi utoto?

   
 19. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #19
  Aug 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  kazi buti mpaka atoa jibu la kukubali au kukataa! Maana inawezekana anakupa positive signals kwa kukuonea aibu au ni kweli kuwa anakupenda. Hivyo endelea tu mpaka jibu litoke. Ili usichanganyikiwe hapo baadaye na kurudi tena jukwaani tukushauri, jiweke tayari kupokea jibu lolote, zuri au baya!
   
 20. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #20
  Aug 22, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  hakuna kupendana hapo mnataka kucheza kitoto toto
   
Loading...