JF okoa Jahazi hili

Wadau wa JF naomba mnisaidie kuna binti nampenda nae naamini ananipenda pia nifanyaje kumpata though najaribu sipati signal bt i knw she loves me......nifanyaje hasa wadada nahtaj mawazo yenu na wakaka mnahusika

Ulimaliza tatizo lako?
 
Mdogo wng, soma kwanza, mapenzi yapo tu.
Maana kama hata hili nalo unahitaji ushauri, no dhahiri nado akili yako haijakomaa kiasi cha kuweza kuchanganya mapenzi ndani yake
 
Hata maralia inadalili iweje ucone signo hata cku moja dalili ya homa c sawa na kaswende kifup huyo ni wa love plastic 2u ana jipya pa1.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom