Jf ni noma

Jf ni noma

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
Mama Ajiunga JF Kwa Jina La Beib Loveee
Baba Ajiunga Kwa Jina la Prezda wa kitaa
WOTE WAMEJIUNGA JF KWA SIRI NA HAWAKUWEKA AVATAR
mara mazoea yakaanza kukutana kwenye threads za MMU na Chit Chat

Sasa Siku Moja Baba Akaona Request *beib loveee wants to be your friend*

Mzee Akaconfirm fasta na kuzama *kuPM*

PM ilikua hivi:-
Prezda wakitaa: karibu mrembo....

Beib lovee: thanx mtanashati....

Prezda wakitaa: unaishi wapi?....

Beib lovee: SINZA kwa wajanja(kasema ukweli)

Prezda wakitaa: nice place swt.

Beib lovee: thanx.. Wewe unaishi wapi?

Prezda wakitaa: KINONDONI(kadanganya)

Beib lovee: unakaa kwa mapedejee?

Prezda wakitaa: haaa! haaaa! Kawaida tu mrembo....vp tunaweza tukakutana tukaongea zaidi mrembo?

Beib lovee: wewe tu me nipo free.......

Wakapanga siku ya kukutana,tabiri sasa kilichotokea walipokutana
 
Excelent we ni noma aisee, yan jocks zako huwa nazikubali balaa lazma mtu ucheke vya kutosha.
Dah full shangwe.
Wakikutana itabidi wapige match ya dharura tu.
 
Excelent we ni noma aisee, yan jocks zako huwa nazikubali balaa lazma mtu ucheke vya kutosha.
Dah full shangwe.
Wakikutana itabidi wapige match ya dharura tu.
Thanks mkuu,ndo hii walipokutana walichapana kwanza ila swala la talaka na polisi walipofika maeneo mi sikwepo
 
Ila huoni kwamba kila siku kila mtu lazima akae kwa mashaka

Hamna mashaka bana! hiyo inazihirisha kwamba kweli ni ma soulmate yaani God amewakutanisha tena mpaka kwenye feki ID khaaa! hawa kweli wameunganishwa.

Halaf sredi iko jukwaa la jokes mbona wewe uko serious bana
 
aaah mi kweli Sir God amewakutanisha tena,hata mimi ningegomba hata ila love lazima iwe maradufu bhana mana nishajua
bila kuwa makini wife wangu watamkwapua.
Hahahaha nipo serious bhana we hii ishu ipo we unadhani ndoa yangu itaweza kudumu tena?
 
Back
Top Bottom