JF New Strategy and New Approach

Bowbow

JF-Expert Member
Oct 20, 2007
541
30
Ndugu wanaJf,

Kwa hizi siku za karibuni kumekuwa na mambo mengi yamejitokeza ni kufanya wakati mwingine tunaangalia upande mmoja bila kupata updates za vitu vingine vinavyoendelea.

Tunakumbuka uchaguzi wa Kenya; Kenyan-Tanzanian alitufaa sana kupata updates, uchaguzi wa Kiteto Mpaka Kieleweke anatupatia updates kila mara.

Nadhani tuweke strategy kwamba kila issue mfano Lunyungu amesema atamfuatilia Lowassa so tutarajie walau kila baada ya siku mbili au 3 tutapata new info, vile vile tuweke mikakati kwa kila jambo kuwe na key player wa kufuatilia hadi tunafika mwisho nadhani tutamkoma nyani more strategicall kuliko sasa

ni maoni tu natoka nitarudi after 6hrs
 
Mawazo poa sana lakini nadhani tufanye kwamba kila mwanachama na mpenzi wa JF anaweza kukutana na habari akiwa njiani basi yeye ailete tu tu hata kwa tetesi na sisi tutaanzia hapo.Hata za Lowasa ukiwa nazo ongezea tu na tutaenda hadi mwisho.Nimesema the big party ya Lowasa nyeti niliko zipata ni MISA na kule Jumba kubwa lakini mipango inaendelea na yeye jana umemsikia anasema ni Mwanasiasa na atakuwa kwenye siasa na cheo chochote akipewa atachukua maana hakuiba senti ya Mdanganyika .Habari kubwa hii.
 
Nimesema the big party ya Lowasa nyeti niliko zipata ni MISA na kule Jumba kubwa lakini mipango inaendelea na yeye jana umemsikia anasema ni Mwanasiasa na atakuwa kwenye siasa na cheo chochote akipewa atachukua maana hakuiba senti ya Mdanganyika. Habari kubwa hii.

Kwa kauli hiyo inaonekana ameshajichagulia mwenyewe cheo anachotaka apewe na inaonekana Mkuu wa kijiji hana kauli hapo. Unaweza kukuta kashaambiwa, "...nimeonewa kiasi cha kutosha, na nimejiuzulu kufunga mjadala, sasa kwa kuenzi ujirani wetu kikazi na kimaisha nataka cheo cha..."(sijui nani atatolewa mhanga hapo)!!

Kuna watu hawajisikii raha kabisa kuwa watanzania bila cheo. Kwani kwenye vyeo kuna biashara gani huko. Kwani watanzania wote wasio na cheo wameiba senti tano ya mtu.

Nani huwa anawaambia hawa watu kuwa wamezaliwa ili wawe na cheo mpaka kaburini.

These stories zinachefua sana ukizingatia 150,000 USD zetu hata leo zimekwenda RichMond!
 
Mawazo poa sana lakini nadhani tufanye kwamba kila mwanachama na mpenzi wa JF anaweza kukutana na habari akiwa njiani basi yeye ailete tu tu hata kwa tetesi na sisi tutaanzia hapo.Hata za Lowasa ukiwa nazo ongezea tu na tutaenda hadi mwisho.Nimesema the big party ya Lowasa nyeti niliko zipata ni MISA na kule Jumba kubwa lakini mipango inaendelea na yeye jana umemsikia anasema ni Mwanasiasa na atakuwa kwenye siasa na cheo chochote akipewa atachukua maana hakuiba senti ya Mdanganyika .Habari kubwa hii.

Labda kama sijaeleweka.

Haina maana wengine walipota news hawana haki ya kuweka post hapana nina maanisha wale wenye uwezo wa kufuatilia issue fulani kwa ukaribu na kutoa upadates. Mfano wakati wote JF ilikuwa offline Mkijiji alikua na mawasiliano ya karibu wa Inviible na wengine wakatupatia updates lakini hata members wengine walichangia BUT wHO TOOK THE LEAD?

so same way kwa thread zetu na sio member wanapiga kura bali ni mtu anajitolea kufuatilia kama ulivyojitolea mean while sisi wengine tunafuatilia kwa kutumia vyanzo vyetu.
 
wazo zuri......however huoni ya kuwa ku-dedicate members fulani kufuatilia issues fulani kuta-letdown majina yetu bandia.......nafikri ilivyohivi sasa kila mtu kuja na inf yake na baadaye either kuthibitishwa na member wengine au kukanushwa na member wengine ni mfumo mzuri......nafikirini vizuri KUTOJUA Lunyungu/Ogah/Bowbow etc watatuletea habari gani na kwa wakati gani......ni mawazo tu
 
NAONA APPROACH NI KUENDELEA KUZUNGUMZIA BOTH PRIVATE NA PUBLIC LIFE YA WATAWALA WETU AMBAO WANAISHI KWA KODI ZETU

THAT SIMPLE!

yap its a very good idea, lakini tuwe tunajitahidi kuleta habari za ukweli na sio uzushi..sababu zitakuja kutu cost sana kama itakuja kuthibitikia wazi kuwa tunapost taarifa za uongo na za kuchafua baadhi ya watu. Lets try our best tuegemee kwenye ukweli zaidi na kwa pamoja tutashinda kwenye vita hii kubwa ya umasikini wa kujitakia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom