JF Name yako ina maana gani?

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Wakuu niaje?

Hivi username yako ya JF inamaanisha nini?
Uliwaza nini mpaka kujiita hivi unavyojiita?

Naanza na yangu.
Endangered.
Kama raia wengi nchini wanavyokosa haki zao za msingi, mi pia naweza kuwa next chini ya utawala uliopo. Huo ndo msingi wa kujipa hilo jina.
Wewe je?
Nawasilisha.
 
Usermame yangu inamaanisha mambo mawili kwanza inamaanisha my name na pili aisee nitaeleza badae ngoja kwanza nivute pumzi.
 
b52 kitu ya kivita inayotisha na iliyotisha sana Iraq........
Kombora moja tu lazma mtafutane
 
uzi wa aina hii upo, ngoja wataalamu waje watupie link.

Mie nilijiita hivi maana napenda liwa.
 
Usermame yangu inamaanisha mambo mawili kwanza inamaanisha my name na pili aisee nitaeleza badae ngoja kwanza nivute pumzi.

Sawa sawa hapo.
Being creative. Tunasubiri baada ya kuvuta pumzi.
 
Huyu anapenda vyote

Tumsikie mwenyewe sasa.
Eti Kongosho unapenda liwa au?

B52.
Sawa muangusha mabomu, we ni tishio no doubt.

Badili Tabia wala hana haja ya kujieleza hata. Shida ni kwamba anamlenga nani sanasana.
 
Last edited by a moderator:
Yangu kama inavyojieleza,
Mvaa miwani,
Mfuga dread,
Muongea english,
Mengine malizia mwenyewe...,
 
Back
Top Bottom