Endangered
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 922
- 231
- Thread starter
- #21
Yangu kama inavyojieleza,
Mvaa miwani,
Mfuga dread,
Muongea english,
Mengine malizia mwenyewe...,
Hapo Madame B nadhan umeniacha mbali sana.
Hebu rahisisha kidogo.
Yangu kama inavyojieleza,
Mvaa miwani,
Mfuga dread,
Muongea english,
Mengine malizia mwenyewe...,
Hahahaha! Kongosho hujambo?uzi wa aina hii upo, ngoja wataalamu waje watupie link.
Mie nilijiita hivi maana napenda liwa.
Mambo sweetheart.BAK aliwahi kutoa hii simu mchina nimeshindwa kuweka hapa
hivi nyama inaliwa au inamung'unywa??
Na wewe pia Bagah ulale salama.error 505!!!mlale salama woote!
Na wewe pia Bagah ulale salama.
Hahaha! Shem bana, kumchumu shemeji kwenye giza ndio hairuhusiwi, vile wewe umenichumu kwenye taa hakuna tatizo lol...aaaaah semegi...miss u...ivi si sawa nikikuchumu shem?...mmmmwaaaa!
nimejiita hivi kutokana na roho mbaya niliyokuwa nayo dhidi ya serikali ya Mzamiaji aka baba mwanaasha
Mkuu kama nakuona vile.
Si mchezo, na paka wako huyo anayevuta sigara. Punguza munkari baba.
uzi wa aina hii upo, ngoja wataalamu waje watupie link.
Mie nilijiita hivi maana napenda liwa.