Zabibu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 256
- 54
b52 kitu ya kivita inayotisha na iliyotisha sana Iraq........
Kombora moja tu lazma mtafutane
nimeshaona daladala nyingi zimeandikwa ivi ila sikujua ni nini?afu nikija humu naona jina lako ndio lina iyo B52 si ndio nikawa nadhani eti zile daladala ni zako