FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
- Thread starter
- #21
Mpendwa kwanza jitizame wewe mwenyewe ni kitu gani unakipenda na una uwezo nacho. Ukifanya biashara ili mradi biashara nayo utaichoka kama ulivyochoka kazi.
Plus usiache kazi mpaka uone biashara inachanganya labda kama una kitu ambacho kina kuingizia pesa hata kama ufanyi kazi
Mie kama mie napenda sana mambo ya fashion za kina mama na kina baba ila nikiangalia maduka mengi Bongo hii ni nguo za kina baba kina mama
asante kwa ushauri Mimi-soso
noted