JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

Ila maajabu ya JF kuna watu siku hizi siwaoni ila nahisi miandiko yao ni wao ila wapo kivingine ila tu sad kuwamis,

Bado natafakari mapendekezo lakini kwenye Category ya Queen of MMU nawapendekeza Smile na lara 1

Haaaa haaa Mkuu tuko pamoja sana. lara 1 anafaa kuwa awe Mwenyekiti wa tume. Ningependa kustaafu mapema niwaachie vijana walete changamoto zaidi na ubunifu.

Smile, du, umejuaje? Binti yuko mahiri kwa michango yake. Ila mi nakaa kimya nisionekane nampigia kampeni maana muda wa kuwapendekeza bado haujafika.
 
At least mwisho wa siku amekuja mtu na kuongea jambo la maana, sio yule tapeli aliyejifanya katumwa na Invisible wiki moja au mbili zilizopita....

Mkuu, nimekusoma. Nina uhakika alifanya vile kwa nia njema sana. Na mimi na kijana wangu TANMO naomba niwakaribishe kwa mikono miwili. Ningependa kustaafu mapema niwaone vijana hawa wakiboresha zaidi ili sisi tubaki kama wasahuri. So, nawaomba wote wajitokeze na wajiunge na kamati kuendesha mchakato mzima.
 
Last edited by a moderator:
Duuh hadi raha umeniacha hoi . . . . Ile Mutu ya MABEBZ WA UKWEEE (Note CAPS).

Kama vipi tuone mapensekezo! Au vipi Bana!

ahahahah!..

jamaa huwa ananiacha hoi sana:becky:
 
ahahahah!..

jamaa huwa ananiacha hoi sana:becky:

Umeona eeh, ile Mutu nagombea Ubunge EA na NEC taifa, ila mutu nakubali kushindwa kiuungwana. Ile Mujumbe (Note MUJUMBE) wa Jumuiya ya Wazazi!

Aisee, usipime, hii Mutu nilionana nayo mimi, ina akili sana kuliko watu wengi wanavyofikiri.

Yuko vizuri sana upstairs!

Big Up Lemutuzi! Le Baharia!
 
mi naipenda sana confidence yake....!the way alivyo very free kuweka wazi life style yake pia..!laiti kama lleo hii angekuwa kiongozi basi mim ninaamin angekuwa very clean
 
Asante Superman!!! Wale wenye majina ya madume ambao ni majike na ambao wanauwezo wa kubadilika post zao itakuwaje? Maana haki ya nani kuna mabingwa huwezi kumtambua kama ni she or he hapa!!! Dah kazi ipo!! Mimi sjiui ni she or he!!! Ngoja wapiga kura wafanye utabiri/kupiga ramli.
 
Categories za kushindaniwa na sababu za kuweka hizo categories

zile zilizotumika mwaka jana nadhani zinafaa sana tu kwa mwaka huu

Mchakato wa kupata washindi: Masharti na vigezo

Mimi nunga mkono hoja yako moja kwamba watu walioshiriki na kushinda kwa kipindi cha miaka kama mitano hivi wasishiriki tena...then siku moja tukiwa na washinndi wa miaka mitano au sita tunaweza kuwashindanisha wale washidi kwa shindano lenye jina mfano JF-ALL STAR COMPETITIONS...labda tunamtafuta jf-all star king of chit cheaters(ambayo no doubt xpin atashinda..)

Lakin pia kuwapata competitors nilikuwa nashauri kuwe na vigezo vya msingi ambavyo vingetumika ikiwa ni pamoja na a number of threads started...number of posts replied..responses za members kwenye hilo jukwaa kuhusu post zako...abuses reported na members...reputations received....yah!labda how often is a competitor on line...contributions zake katika kuitegemeza jf na mambo kama hayo...sasa hivi ni vigezo ambavyo viko documented kabisa..hao mods wangeweza kutusaidia kuvikusanya...baada ya hapo tunapata hata watu watatu kwenye kila foram itakayokuwa inatafuta mshindi

Mchakato wa upigaji wa kura

Mimi nafikiri tujaribu kuruhusu wadau wapige kura mara nyingi kadri inavyowezekana ili kuweka wigo mpana zaidi wa ushindani..i mean tufanye tu kama wanavyofanya wenzetu wengine huko BBA na anywhere

Mapendekezo ya Members watakaokuwa katika Tume ya Uchaguzi i.e. Judges

Hapa nadhan mods wa kila jukwaa litakalotoa crown ya kugombaniwa wahusike labda pamoja na members wakongwe na wazoefu zaidi kwenye majukwaa husika

Uboreshwaji wa zawadi
hapa nilidhani pangeboreshwa zaidi ....na management ya jf ni muhimu ikatusaidia hapa...ninachokiamini mimi hili la zawadi likiboreshwa litachangia sana kumotivate members wengi na automatically kuna vitu vingi zaidi vitakuwa automatically improved
 
Mchakato mzima unakuwaje nani anasimamia upigaji kura naomba kufahamu isije ikatokea lawama kwenye kuhesabu kura.
 
Mkuu Teamo inaelekea unaweza kuachiwa mikoba Mkuu akistaafu.

Kudos sana Mkuu.
 
Mchakato mzima unakuwaje nani anasimamia upigaji kura naomba kufahamu isije ikatokea lawama kwenye kuhesabu kura.

Mkuu safari hii kuondoa lawama ndo maana tumeanzisha thread hii ili tupate mawazo yenu ya kuboresha. Tutashukuru sana endapo tutapata mawazo na mchango wako.
 
mi naipenda sana confidence yake....!the way alivyo very free kuweka wazi life style yake pia..!laiti kama lleo hii angekuwa kiongozi basi mim ninaamin angekuwa very clean
My God!! mtu mwenye sura mbili unasema angekuwa kiongozi clean!? You must be joking.
 
Superman nitatoa msimbazi mbili na ntatoa at the end of the coming january (usicheke), na bila shaka namba yangu ya simu ipo kwenu hivyo kama nitakuwa kwenye thikuku tafadhali sana usisite kunitumia sms.

Mkuu wangu, kabla ya kutafuta zawadi ni vema tukajua kilichopo. So naomba wafadhili mueleze mtakachochangia!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom