JF Men & Women Of The Year 2012 Competition

Nataka niione hiyo upgrade leo leo na kama ikiwezekana sasa hivi. Hapo ndipo nitaamini. Vinginevyo nitakukaba hadi kieleweke.

Duuh! Aisee wewe ni Nowma sana NN! Ngoja nilifanyie kazi!

Ila this time ingia kwenye kamati kuboresha mambo. Ila kaa ukijua hatupokei rushwa maana wewe . . . . . .
 
Mkuu, ili kuhamasisha ushiriki nashauri ungpledge hapa hapa. Kama vipi na mimi pia nita plege kisha ahadi zote tunaziweka main post!
JF KING OF MMU nitampa binti yangu mmoja kati ya sasha au maria ,itategemea na umri wa huyo mshindi
natutakuwa tunaishi wote hapa white house!
:first:
 
Duuh! Aisee wewe ni Nowma sana NN! Ngoja nilifanyie kazi!

Ila this time ingia kwenye kamati kuboresha mambo. Ila kaa ukijua hatupokei rushwa maana wewe . . . . . .

Aisee mbona bado kuonekana hiyo upgrade bana? Au ndo yale yale yako ya siku zote i.e. longolongo?
 
Nampendekeza Mtambuzi awe man of the year

huyu ni mwa mwaka jana/mwaka huu hivyo sijui kama sheria za JF zinamruhusu kutetea nafasi hii ama ni lazima iende kwa mwingine.

Kama sikosei uchaguzi uliopita hoja hiii iliibuka kwa mmmoja wa washindi waliopita kutajwa tena lakini akaondolewa.

I stand to be corrected
 
Wakuu, Nafikiri ungeweka "donge nono" kwa washindi kuongeza utashi wa shindano hili.
 
JF KING OF MMU nitampa binti yangu mmoja kati ya sasha au maria ,itategemea na umri wa huyo mshindi
natutakuwa tunaishi wote hapa white house!
:first:

Duh! Mkuu, mi nilidhani uko serious, kumbe unanogesha jamvi! Haya bana!
 
Aisee mbona bado kuonekana hiyo upgrade bana? Au ndo yale yale yako ya siku zote i.e. longolongo?

Miafrika ndivyo tulivyo! Kuwa mpole basi ntaacha! Ebo! Unajua mimi nalipa mara mbili? wamekuzika wengine halafu unanipiga zengwe mimi!

Nishawaambia wafanye upgarde kwako na babu Asprin maana umemwambukiza kudai!
 
Last edited by a moderator:
huyu ni mwa mwaka jana/mwaka huu hivyo sijui kama sheria za JF zinamruhusu kutetea nafasi hii ama ni lazima iende kwa mwingine.

Kama sikosei uchaguzi uliopita hoja hiii iliibuka kwa mmmoja wa washindi waliopita kutajwa tena lakini akaondolewa.

I stand to be corrected

Mkuu umechanganya madawa, kuna Mtambuzi mtaalamu wa sosholojia na utambuzi na Mchambuzi mtaalamu wa sayansi ya siasa!!
 
Last edited by a moderator:
huyu ni mwa mwaka jana/mwaka huu hivyo sijui kama sheria za JF zinamruhusu kutetea nafasi hii ama ni lazima iende kwa mwingine.

Kama sikosei uchaguzi uliopita hoja hiii iliibuka kwa mmmoja wa washindi waliopita kutajwa tena lakini akaondolewa.

I stand to be corrected

Well said 100%.

JF ina magwiji wengi sana!
 
Wakuu, Nafikiri ungeweka "donge nono" kwa washindi kuongeza utashi wa shindano hili.

Mkuu nakubaliana na wewe, ndo maana ni muhimu Sponsors wajitokeze. Sasa baadhi wanaleta utani!
 
Duh! Mkuu, mi nilidhani uko serious, kumbe unanogesha jamvi! Haya bana!

Hahahaha.. kama vipi superman we wapokee hao warembo tutapata ng'ombe wa kutosha tukiwaozesha. Vijana ndo wako jandoni sasahivi.

btw, mimi ningependa kufahamu wajumbe wa kamati y uchaguzi (judges) wanatakiwa kuwa na sifa gani?
 
Oops! Kumbe hii ni Kichwa mbili tofauti!

Ipo maneno! Mkuu karibu sana tuboreshe JF.

Tuko pamoja sana mkuu, wakati unatafakari majibu ya swali langu la majaji, nami natafakari kuhusu vigezo vitakavyotumika kupata washindani na hatimaye washindi.
 
Hahahaha.. kama vipi superman we wapokee hao warembo tutapata ng'ombe wa kutosha tukiwaozesha. Vijana ndo wako jandoni sasahivi.

btw, mimi ningependa kufahamu wajumbe wa kamati y uchaguzi (judges) wanatakiwa kuwa na sifa gani?

Kamanda wangu, safari hii nategemea maoni yenu kwa sana Mkuu!
 
Ngoja nicheki...

Heheheheeee.....haya. Tumemalizana sasa. Nakutakia mchakato mwema.

Vipi lakini, naweza tena kuwa man of the year?

Acha hizo bana! Kwani huoni sattus hapo? Gold Membership ya dezo hiyo Mkuu haaaaa haaaaa
Nitamwambia Melo anirudishie pesa yangu!
 
Back
Top Bottom