Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,069
Safi sana. Nyani Ngabu na Asprin tayari ni Gold Members!
hit hit hit bra
nimeipanda sana spirit yako kiutendaji...!una speed za moderators mkuu:becky:
Safi sana. Nyani Ngabu na Asprin tayari ni Gold Members!
Arifu Man of the year kwa kushinda MMU? you must be joking.Nampendekeza Mtambuzi awe man of the year
hit hit hit bra
nimeipanda sana spirit yako kiutendaji...!una speed za moderators mkuu:becky:
Mkuu nakubaliana na wewe, ndo maana ni muhimu Sponsors wajitokeze. Sasa baadhi wanaleta utani!
Kijana wangu ni kweli. Ila napenda kuchukua nafasi hii kuwaomba wadau pia, wawe na moyo wa kuchangia JF kwa hali na mali. Gharama za uendeshaji zinakuwa ni kubwa pia. Mtu kama Nyani Ngabu anazo pesa za kuchangia lakini kagoma mwaka mzima. Nimeamua kwa hiari yangu kumchangia $ 50 maana zawadi ilikuwa ni TZS 50,000 na nimeongezea $ 50 ila awe Gold Member aendane na hadhi yake.
jamani kutoa ni moyo tuichangie JF!
Pamoja Mkuu, ila una taarifa kama hapa tuna King of all social Network, sijui huyu tutampendekeza catogory gani!!Mkuu Matola; salaam sana.
Mkuu naomba kipindi hiki amani itawale Kaka. Tusahau yaliyopita. Ukiwa na nafasi si jambo baya tukasaidiana pia.
Tusameheane tutazame mbele sasa kuiboresha JF!
Pamoja Mkuu, ila una taarifa kama hapa tuna King of all social Network, sijui huyu tutampendekeza catogory gani!!
Mkuu Matola unazungumzia ile Le Mutuz? Ile Mutu ya Siasa; Ile natoka natoka NYC; ile Mutu namkoma Nyani Gilabu mchan kweupe; Ile Mutu ya sauti ya Umeme; Ile Fileld Marshal ya JF; ina Mutu; Ile Mutu; Ile Mutu ya Totoz; Ile Mutu King ya All Social Media and Networks; Ile Mutu ya Dodomya? Nk Nk.
Pamoja sana mkuu; tutasubiri wadau wanasemaje. Au una maoni gani?
Nimekusoma Mkuu. pamoja sana.
Leo kijana NN kaliwa na Ndama!
Nimekusoma Mkuu. pamoja sana.
Leo kijana NN kaliwa na Ndama!
Ila maajabu ya JF kuna watu siku hizi siwaoni ila nahisi miandiko yao ni wao ila wapo kivingine ila tu sad kuwamis,Mkuu Matola unazungumzia ile Le Mutuz? Ile Mutu ya Siasa; Ile natoka natoka NYC; ile Mutu namkoma Nyani Gilabu mchan kweupe; Ile Mutu ya sauti ya Umeme; Ile Fileld Marshal ya JF; ina Mutu; Ile Mutu; Ile Mutu ya Totoz; Ile Mutu King ya All Social Media and Networks; Ile Mutu ya Dodomya? Nk Nk.
Pamoja sana mkuu; tutasubiri wadau wanasemaje. Au una maoni gani?