Mimi siwajui. Na kama unawajua ole wako ukiwataja. that is 'name calling'+'kuleta mambo ya PM jamvini'!Hivi tunaweza kuelimishana kwa kuwataja mabingwa wa kuflirt???
Mie nilikuwa na nafanya hiyo kitu miaka ya 1957.......Kwa hiyo wanaofanya sasa nao wajipime wenyewe ama waamue kujitaja au tuwataje!!
I've got some other better things to worry than worrying about PM'shakuna presha mkuu ... naamini unaelewa, unless u wuldn't hav commented!
:lol::lol::lol:
Hahahahaha, sasa anaingiaje hapo? au anakua amesha kutaafiru kwa kukugongea likes kadhaa?mwingine hujawahi kumwona kwenye thread au jukwaa lolote wala hujui kama yupo JF but mara unakuta PM,heri hata wale wanaokutana jamvini unakuwa umeshamzoea kiasi
I've got some other better things to worry than worrying about PM's
Nah no worries on my side but I just don't understand why people are so freaked outi second ... and why shuld u worry??
Duh! Naona mada inakwenda mbali zaidi...Topic ya aina hii kuanzishwa na Super Moderator inaashiria kuwa moderetors kazi yao ni kusoma PM za watu.
Hahahaha, fake gentleman, sio? hahahahaRR leo umeamkia upoande gani? manake huu uzi si mchezo.
Napenda kuwa mkweli katika hili, Hiyo namba nane ndiyo zangu hizo!! Ukijichanganya kidogo tu, umeumia.
Hata babu yao ODM ananikubali katika eneo hilo. kha!
Mbona unawatisha members mkuu, unaushahidi wowote wa kua kuna mtu anasoma PM za members humu ndani?
Paranoia tu Gaijin. Mi nimesema wazi kua nimeambiwa na members.
hajataarifu hata kwa likes wala nini,sijui ndo multiple ID au inakwajeHahahahaha, sasa anaingiaje hapo? au anakua amesha kutaafiru kwa kukugongea likes kadhaa?
Nah no worries on my side but I just don't understand why people are so freaked out
Kwa kweli pamoja na kua mi sipokei PM zile chache zilizopo siwezi kupenda mtu azisome, that is why. ila nashangaa kitu kmoja, kwa nini wanaamini kuna watu wanasoma PM zao? maybe source yangu ilinipa details sana na wanaji-recognize?Nah no worries on my side but I just don't understand why people are so freaked out