Jf members wanao penda ku-flirt PM

Kwakweli hapo mie sina cha kukujibu,
Coz hata mie mwanzon sikuelewa lkn nikawa navutiwa naujumbe ninaoupata,
Na kwa kweli nafarijika kwani huwa na copy na kupest kwa pc yangu na kufuta hizo pm,
Kiasi kwamba mpaka sasa nina inbox tano za mistari ya biblia za leo,
Namshukuru mungu kwa neema hii.
 
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...

Hivi tunaweza kuelimishana kwa kuwataja mabingwa wa kuflirt???


Mie nilikuwa na nafanya hiyo kitu miaka ya 1957.......Kwa hiyo wanaofanya sasa nao wajipime wenyewe ama waamue kujitaja au tuwataje!!
 
Napata lakini lazima ukini-PM inbox yangu ifanye recognition of gender ili nijue how to deal with you.....
Haya bwana! kheri yako wewe hauto tapeliwa kama yule jamaa alikopa za kumlipia pen pal nauli kumbe ni male mwenzie.
 

mi naendelea kwa sababu sijawahi pata PM yoyote ile..
 
Kwa kweli mie hata moja ya hivi sijapata watu wanaupendeleo sana aisee

Lakini afadhali sijapata maana ningeshawarusha hewani siku nyingi sina dogo mie
As you say ni kheri sisi tusio pata. Nakumbuka kuna thread Lizzy alianza, ya kuuliza utaratibu wa ku-ignore maana kuna mtu alimweka kwenye ignore list ila jamaa akawa anaendelea ku-PM
 

hongera zako bibie kwa kuwa na ujumbe wa mungu..
 
Basi wewe una bahati sana, hakuna members wanakutafuta kwa ku-flirt... ila naskia wapo humu JF...
Kwakweli mie haijanitokea kbs,
Nahisi labda nikutokana na upako uliojaa kwenye profile yangu,
Unaweza ukawa hauruhusu msg za ivo kuingia isipokuwa zenye ujumbe wa neno la mungu!
 
Binafsi situmiwi PM... Nimefanya uchunguzi kwa members fulani fulani ndio nikaambiwa kuna hizo category hapo...

Heshima yako RR,
Ktk hizo hapo juu mie sijapata,
Nashukuru mungu huwa napokea zenye mistari ya biblia tu,
Ikizidi sana ni attachiment za makongamano mbali mbali ya kuitangaza injili!!

ni vigumu kwangu kuprove kuwa ni kweli coz i dont do pm

Kwa kweli mie hata moja ya hivi sijapata watu wanaupendeleo sana aisee

Lakini afadhali sijapata maana ningeshawarusha hewani siku nyingi sina dogo mie

mi naendelea kwa sababu sijawahi pata PM yoyote ile..
:lol::lol::lol:
 
mwingine hujawahi kumwona kwenye thread au jukwaa lolote wala hujui kama yupo JF but mara unakuta PM,heri hata wale wanaokutana jamvini unakuwa umeshamzoea kiasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…