Jf members wanao penda ku-flirt PM

Haya rubani nitakutafuta, utendaji wako wa kazi 🙂🙂🙂 ni mzuri sana Board of Directors ya Airline ile lol! wanafikiri kukupa bonus kubwa sana ya mwisho wa mwaka hivyo usiwe na wasiwasi wa kufukuzwa kazi.

Captain asante sana kwa hilo..
nAONA zawadi yangu ya xmass imekuja mapema..
by the way



​
 
Captain asante sana kwa hilo..
nAONA zawadi yangu ya xmass imekuja mapema..
by the way



​


Ahsante sana Rubani kwa hizo images za kukata na shoka. Mwaka huu niliuanza vizuri sana namshukuru sana Muumba wetu kwa hilo na unaelekea kwisha vizuri kabisa. Ukibahatika na bahati kubwa kama hii inabidi tu umshukuru Muumba wetu.



 
Maana yake huyo anakua anakusoma tu kila siku alafu siku moja anaamua tu akutumie PM, liwalo na liwe.

mwenyewe kuna mmoja aliwahi kuniPM hata sijui alitokea wapi mpaka leo sijamuona kwenye jukwaa lolote lile halafu ana maneno mataamu lol
 
Na mimi undercover mod nimeona nitoe tamko langu.
Ni kweli kabisa sisi mods hatuwezi kabisa kusoma PMs zenu endeleeni kutongozana tu, mkiwa na wasiwasi zaidi tongozaneni kwa kizaramo, mods wengi wanatoka Arusha

hahahahahahaha sawa sawa mkuu
 
Katongoze kwa amani
Kwanza hiyo inakuhakikishia wewe ni mkamilifu
Fanya 2 * 3 kwa maisha yako yote
Inapunguza mafua ya asubuhi, hasira za mchana, kuumwa kichwa jioni
Usisubiri hadi uandikiwe na sakatrik

wifi haya unayazungumza wewe ama?
 
Usiwaambie, nakuibia siri

Eti Rejao mchangia popote, maana yake ni Cha Wote

eeh basi bora nimlinde excellent wangu na wewe ndo umempa bichwa kweli kutafuta wengine akhu sikupendi tena my wii
 
mwenyewe kuna mmoja aliwahi kuniPM hata sijui alitokea wapi mpaka leo sijamuona kwenye jukwaa lolote lile halafu ana maneno mataamu lol
kwahiyo bado unamsaka? naibiwa live
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…