Jf members wanao penda ku-flirt PM

hakuna namna ila kuna avatar yenye macho mazuri mi nitatongoza tu hata wakiona pm


...Uamuzi mzuri sana huo, kila la heri. Kuhusu huyo mrembo nimesikia 🙂 kwamba si macho tu ndio mazuri 🙂 ila kila kitu chake ni moto wa kuotea mbali. Ameumbwa akaumbika 🙂 Kazi kwako Mkuu.
 
Niko katika mkakati wa kuliwekea penzi letu Copyright, nimegundua hata Kaizer na Ashadii wanakopi kwetu. Tuwashtaki?
Tuwashtaki manake hawajaomba ruhusa ya kukopi mbaya zaidi hawaweki source... Wangetakiwa wakopi lakini mwishoni kabisa waseme source: klorokwini na sweetlady....


Jitahidi asee manake naona hata Bishanga na Eliza wa Tegeta wako mbioni kutukopia.
 
...Uamuzi mzuri sana huo, kila la heri. Kuhusu huyo mrembo nimesikia 🙂 kwamba si macho tu ndio mazuri 🙂 ila kila kitu chake ni moto wa kuotea mbali. Ameumbwa akaumbika 🙂 Kazi kwako Mkuu.
lol! thanks mkuu mana huyu mrembo ni waukweli
 
Reactions: BAK

Kamanda vigezo na masharti yatakuwa yamemshinda....lol
 
Lmao.. Roulette nimeipenda the original post... Ngoja nijaribu aiseee....

Sample...


The shy one – Vin Diesel
The Classic one – Klorokwini
The Childish one – Mwita25
JF by night – The Boss
Fundi cherehani – EMT
The naughty one –Kaizer (Sweetie)
The fake gentleman – ODM aka Asprin (Shem)
The inquisitor – CPU
Action Man – Nyani Ngabu
Surprise – Hawa daima ni junior member... (anafungua new ID purposefully kwa ajili ya kutongoza)
 


Sweetie katika watu umepatia,basi ni TB apo lol!
 
Ladies..

The Shy one – First lady
The Classic one – King'asti
The Childish one – twenty2
JF by night – Husnynyo
Fundi cherehani – Sweetlady
The executive - Lizzy
The naughty one – Smiles
Action woman – Kongosho
The fake lady – Cantalisia
The inquisitor – Nemo
Surprise – Eliza wa Tegeta
 
No Love.... I think of adding one attribute apo..."JF by Night" (so tempting, usije kunipiga ban kuingi usiku sweetie)


hahaha.... That is being naughty love.... (nina ubavu wa kukupiga bana the way i've missed you? )
 
@AshaDii, hivi kwani hii ni sred ya udaku?
Au mi nakosea?
Am very shy no action kabisa

afu TF kakuhonga? Mbona kakosekana kwenye ligi wakati ndiye mfungaji bora?
 

Swadata
 

Sweetie apo unaweza kuhakikisha kama wote apo ni SHE? manake kuna wengine jinsia zao ni utata kabisa.....lol usishangae unapata PM ya tongozo kutoka kwa "Sweetlady"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…