Topic ya aina hii kuanzishwa na Super Moderator inaashiria kuwa moderetors kazi yao ni kusoma PM za watu.
lol kweli umewaajiri maana wanapiga fasta fastaWameajiriwa kushangilia ma post yangu, sasa mswahili akigonga like au asigonge mzembe wala simind, makaburu yanafunga kazi
Geographical calling: You have been warned feis bukummm! eti mods wengi wanatoka arusha!!
Mfano mngekua na uwezo huo, maneno gani mengine mazuri ungeandika ya kukubali, bila kutaathiri kisaikolojia?
Na mimi undercover mod nimeona nitoe tamko langu.
Ni kweli kabisa sisi mods hatuwezi kabisa kusoma PMs zenu endeleeni kutongozana tu, mkiwa na wasiwasi zaidi tongozaneni kwa kizaramo, mods wengi wanatoka Arusha
Paw alikuwa dokta wa meno pale mount meru hospitalmmm! eti mods wengi wanatoka arusha!!
masaa mawili yaliyopitaMie Mod tangu lini?
hahah...Mwalimu...mimi nadhani tusisahau kuwa Mods nao nim watu (afterall naona kumbe na wewe tayari, so hapa napeta tu)
I mean inabidi waishi kama watu ili waweze kuwaelewa watu!
Labda nia ya kuipost ilikua kutupumbaza kama ulivyoanisha hapo juu (kwamba asingeweza kuandika aliyoandika kama ingekua kweli) au kutuonyesha kwamba mnaweza, either way mmefanya watu waanze kuwatazama tofauti. Kama ingekua lazima kulipia kuwepo JF ningeacha leo hii.PMs are not accessible to Moderators. The fact that Russian Roulette has posted this thread is evidence enough. If Moderators had access as commonly assumed by most, Great Thinkers would realize Russian Roulette would not have dared post such a thread for fear of members response on disclosing the impeachment of the rights of privacy of each member. Rest assured.
JF Daima.
hahah...Mwalimu...mimi nadhani tusisahau kuwa Mods nao nim watu (afterall naona kumbe na wewe tayari, so hapa napeta tu)
I mean inabidi waishi kama watu ili waweze kuwaelewa watu!
masaa mawili yaliyopita
Heshima yako my Big Shem,Mi mwenyewe, mara ya mwisho kupata PM ni 2008 mwanzoni....hii kitu kwani ni nini? si tunamalizana hapa hapa
All in all walau nimepata knowledge.....naanza kumonitor PM zoote za babe AshaDii
Katika diet yao hakuna mabamia, karibuni nitaanzisha sredi ya side effect za mabamia kule JF Doctor. Stay tunedlol kweli umewaajiri maana wanapiga fasta fasta
hahahahaaa!!kwani we sio mod?
Kamanda na mimi niliona mwalim Gaijin amekuwa supper moderator, wakati naandaa PM ya kujipendekeza kwake hafla nikaona karudi senior expert member, nimeidelete PM.
Sasa sjui panaendelea nini hapa? labda hakubaliani na masharti ya wafazili.
Gaijin funguka
kwahiyo pamoja nakuwa mwanasheria pia upo kwenye udoktaKatika diet yao hakuna mabamia, karibuni nitaanzisha sredi ya side effect za mabamia kule JF Doctor. Stay tuned
Hii ID niya mbunge,msije kuniaibisha bandugu
lol,halafu kuna mwingine naye ila jina lake sikukaririhahahahaaa!!
kashamwambia Max aitoe ule utambulisho, anagali kwenye profile yake sasa hivi.
Nilikuwa napitia hizi PM zako ulizonitumia...bila kuuma maneno umeangukia kwenye namba 10..Katika diet yao hakuna mabamia, karibuni nitaanzisha sredi ya side effect za mabamia kule JF Doctor. Stay tuned
lol!haya prezda wanguAliyekuambia mbunge hakamui ni nani?
Kwanu kuwa mbunge unatoa ubunadamu wako
Basi mie ungejua ni nani usingeamini
Ni Prezidaa hivi
Very femasi kijijini kwetu
Lakini hainiondolei hamu yangu ya flirting
kwahiyo pamoja nakuwa mwanasheria pia upo kwenye udokta